Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Cheka tu...Nimecheka sana !
Walengwa ni sisi na siyo CHAWA wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheka tu...Nimecheka sana !
TCRA inahakikisha kuwa kila mtumia mtandao wa simu lazima ashiriki kuibiwa bundles zake na makampuni ya simu.Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imewataka wananchi na makampuni kiujumla ambazo kwa asili ya kazi zao hawawezi kuepuka matumizi ya VPN kutoa taarifa juu ya VPN wanazotumia na taarifa muhimu kabla ya Oktoba 30 mwaka huu.
Aidha mamlaka hiyo imesema iwapo itabainika umetumia VPN kinyume na kanuni zilizowekwa basi adhabu itakayotolewa kwa kosa hilo ni faini ya shillingi milioni tano, au kifungo cha mwaka au vyote kwa pamoja.
View attachment 2781209
Nadhani wanaanza kujipima nguvu na hackers.View attachment 2781219
Nachokiona hapa ni wanataka
1:Kudhibiti habari
2:kudhibiti baadhi ya mitandao
Nothing else,hii inakuja kwenye nchi inayoogopa wanachi wake[emoji2]
Watanzania huwa hawaeleweki. VPN wanadhani umuhimu wake uko kwenye website za porn na Mange. Mimi nilidhani mngeona athari yake kwenye kuzuia wananchi kupashana habari muhimu na kuikosoa serikali na siyo mambo ya kijinga namna hii. Hii sheria ya VPN haitamuathiri Mange bali uhuru wa Tanzania wa kupashana habari na kusema mabaya ya viongozi. Anyways, kuzuia VPN kabisa ni ngumu kama kuzuia madawa ya kulevya.Du Masikini Mange Kimavi! Ulaji wake ndo Kwishney sijui atapata wapi madolari ya Kuhudumia Life aliyoizoea for these past two Years😭😭😭.Umbeya wake kwenye App yake kwa Wazaramo Wa Tanganyika ndo basi tena kwishney
Uzwazwa ni wetu wananchi kwa sababu akili zetu zimedumaa na hatutafakari mambo. Kuna wengi wanashangalia hii sheria wakidhani Mange au wale wanaoangalia porn sites ndiyo wataathirika.... Hapa ndiyo upeo wetu ulipo...TCRA inahakikisha kuwa kila mtumia mtandao wa simu lazima ashiriki kuibiwa bundles zake na makampuni ya simu.
Hii nchi inaongozwa na wapuuzi wengi sana.
Watu wanatapeliwa na kufanyiwa uhalifu wa kila namna mitandaoni lakini hawa jamaa wapo bize na watu wasiangalie maudhui privacy kana kwamba wameagizwa na Mungu kudhibiti tamaa za watu.
Ni uzwazwa wa karne
Mbona liko wazi? Ku-block contents za kuikosoa serikali. Wanataka watawala wawe huru kufanya lolote bila kuhojiwa au wananchi kujulishwa. Wanaona ukosoaji wa kwenye mitandao ni tishio kwa CCM. Wewe unadhani serikali inajali wananchi kuangalia ngono wakati mitaani, kwenye vyombo vya habari na hata viongozi wa CCM wenyewe matendo yao kwa jamii ni mabaya kuliko sites za porn?TCRA wafunge Twitter.
Pia ni uwanja wa picha na video za ngono kuliko mitandao ya ngono moja kwa moja.
Sijajua lengo la kuzuia VPN ni nini?
Huyo atakuwa akaingia majuzi mno dar Naona. Akadandia treni huyuKisutu.
China walijaribu wakashindwa.
Hawana hio access ya kujua mimi natumia vpn🤣🤣,kama wanayo nitaandamana had zenji kwa miguuWe ifute tu mkuu. Au uwe tayari kulipa fine tajwa.
Mkuu japo hujaniuliza Mimi kwa upande wangu stand nimeikuta ubungo.Wkt unaingia mjini daslam stand uliikuta ubungo au mnazi mmoja?
Palamagamba Kabudi ni mtaalamu wa SHERIA Aliebobea n, namkubali sana.Katiba, Ibara ya 16
Kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi na familia yake na unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake ya binafsi.
===================================
HAKI YA FARAGHA kwenye katiba ipo imeandikwa lakini haitumiki, ni kama haipo. Ndio maana ni sawa hapa Tanzania polisi kukudukua na kukushitaki umemsimanga Rais kwenye simu, na ukafungwa kwa ushahidi uliopatikana kwa kuvunja katiba.
Rais Samia Suluhu alisema tuchukue miaka mitatu kwanza kusomeshana Katiba. Alikuwa sahihi kabisa, kwa saab hata yeye haijui, anaivunja kila uchwao, majaji hawaijui, viongozi hawaijui, na wananchi hatuijui.
Majaji wetu, wanasheria nguli, mawaziri wa sheria, magwidi na wakufunzi wa vyuo, wa kina Mwalimu Palamagamba Kabudi na wenzake huwa wanasemwa wamesoma nje, vyuo vizito, University of Berlin, Ujerumani na kwingineko Ulaya na Marekani. Mbona kule hivi vitu ndivyo wanavyofundishana, misingi hii ya haki kali za raia, hawa wa kwetu kule walipasije mitihani ya hao wajerumani ?????????
Wala sijawahi na.sina shida hoyo na sijawahi.Ninapoona waziri.yuko busy.na.vitu havina msingi Kuna changamoto kibao kwenye sector ya mawaailiano internet inasua sua na still very expensive😂😂😂 itakuwa wamekugusa na wewe ni miongoni mwa wanufaika wa VPN...
Sio kwa uchungu huo...🤣🤣🤣
Wanataka kudhibiti taarifa wakati wanapofanya vibaya.Nahisi kuna kitu Cha ziada nyuma. Wanasema kama Kuna wananchi na kampuni ili kufanya kazi zake lazima watumie VPN lakini kazi hizo ni zipi? Hakuna mtu anafanya kazi za X ambazo ni halali. Maana yake Kuna mitandao imefungwa na haihusiani na X. Tatizo letu tumepeleka macho kwenye X tu tukaacha kule ambapo serikali ndo inataget. Kweli inatakiwa kulinda kizazi kinachokua na athari za utandawazi ila lazima wawe specific.