TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

TCRA waja na kibano kinginge: Wanaorusha matangazo mubashara ya matukio kuomba kibali kwanza kabla ya kwenda hewani

Woga woga mkubwa na hofu kuu imetapakaa mtaa wa Lumumba inabidi wawashurutishe makada wao waliowapachika ktk vyeo vya Ukurugenzi wa Taasisi za Serikali , u- DED ,U-DC na kuja na matamko ya kuibeba CCM Mpya.
 
Mimi CCM lakini nakuhakikishia siku za chama tawala madarakani zinahesabika. Trust me hakina zaidi ya miaka 10 unless something dramatic happens.
Acha kutisha watu. CCM ni chama kinachojitambua mno. Hata baada ya miaka 10,still kutakuwa na vyuma vingine vikali kuliko JPM. Watanzania hawawezi wapa saccos uongozi wa nchi hii, take it or leave it.
 
Ajali ina ratiba? Tume imeweka wazi ni matukio yenye ratiba ajali na vifo havina ratiba lakini kampeni zina ratiba

Wanashindwaje kukwambia ilikuwa imeratibiwa? Ujambazi hauratibiwi?

Hizo kanuni mwisho wake 28 Oct 2020!
 
Hapo kinachotafutwa ni civerage ya maandamano live kuoinga matokeo ya uchafuzi wa NEC! Hamna jengine lolote.
 
woyo woyo woyooooooooooooooooooooooooooooo!
 
Hivi wanajua maana ya "dharura"?!
Yaani tukio la dharura linatokea badala ya kurusha, unaanza kuandika barua pepe [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20200910_125233_867.JPG
 
Tukio la dharura ijulishe TCRA:
Aina ya tukio na mahali litakapotokea/adhimishwa
Muda wa kuanza na kumalizatukio (kama unafahamika)
HIYO NI DHARURA??
 
Back
Top Bottom