Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Hasa pale mnapopata kiongozi mkomunisti. Jamaa mwoga sana I see.Wameona kuwa hawajafanya chochote pamoja na kufungia na faini za kutosha.
U communist haufai popote duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa pale mnapopata kiongozi mkomunisti. Jamaa mwoga sana I see.Wameona kuwa hawajafanya chochote pamoja na kufungia na faini za kutosha.
U communist haufai popote duniani
DG sikumbuki vizuri alisomea wapi na kabla ya hapa TCRA alikuwa wapi.
Acha kutisha watu. CCM ni chama kinachojitambua mno. Hata baada ya miaka 10,still kutakuwa na vyuma vingine vikali kuliko JPM. Watanzania hawawezi wapa saccos uongozi wa nchi hii, take it or leave it.Mimi CCM lakini nakuhakikishia siku za chama tawala madarakani zinahesabika. Trust me hakina zaidi ya miaka 10 unless something dramatic happens.
Kama ile sheria ya kubandika makaratasi ya KIJANI kwenye MAGARI Ya UMMA/ IKULU ili yatumike kwenye KAMPENI AU SIYO?Huu ndio uwendawazimu.
Uwendawazimu huu unafanywa kwa maslahi ya Magufuli na CCM.
Ajali ina ratiba? Tume imeweka wazi ni matukio yenye ratiba ajali na vifo havina ratiba lakini kampeni zina ratiba
Sasa wewe unataka waruhusiwe kurusha hadi matusi na lugha za kashfa? Acheni kuwa na mawazo finyu kiasi hicho
Mkula anatafuta mapato ya nchi kwa nguvu
mataga mmekua waoga kama kunguru jike.Sheria ndivyo inavyotaka
Wanakumbushwa tu wasije jisahau wakafungiwa na kutozwa faini
Mbona kama tunarudi nyuma.Ina maana hatupata mubashara wa matukio ya papo kwa papo.
Sheria ndivyo inavyotaka
Wanakumbushwa tu wasije jisahau wakafungiwa na kutozwa faini