Hili nalifahamu sana tu.Nay - Emmanuel Elibariki.
Mb - Elibariki Emmanuel.
Wamemvunjia haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni, hii ni censorship.View attachment 2701756
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) impokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari..
Hili nalifahamu sana tu.
Lakini umeona jina lililotajwa kwenye barua ya TCRA? Barua yenye inaanza na number 2 wakati number moja hakuna? Barua inayosema "KUZUIYA" na sio "KUZUIA"?? Tena ikisainiwa na DG mteule wa Rais anaelipwa hela ndefu tu za kodi zetu?
Umeiona?
🤣🤣🤣,Noma Sana ,makosa mengi sana ya kiuandishi ,hapo kama mimi ningeendelea kupiga mziki wa Amkeni kwasababu haukuimbwa na Kingu huo uliofungiwa.
Kwani kutokua na imani na serkali ni kosa?
Ney kazoea kukosoa tuu kipindi cha magufuli alikosoa leo hii tena anasema anamkumbuka magufuli hata sielewi anasimamia wap
Jifunze kuandika vizuri kwanza kisha ulete hoja yako hapa jukwaani.Mpumbafu sana kashindwa tumia sanaa kuimba zile ni dharau u arafu wa kijinga sana
Hujui kitu. Kaa kimya.Mpumbafu sana kashindwa tumia sanaa kuimba zile ni dharau u arafu wa kijinga sana
Badala ya kuzuia nyimbo zuieni Rushwa, Uzembe na lifanyeni Taifa kuheshimika. Ondoeni neno hatuwezi kwenye maongezi yenu. Watanzania tunaweza, tunaweza kuchimba dhahabu yetu, tunaweza kuendesha bandari yetu. Tengeneza mfumo wa wazi wa ajira wenye uwezo waingie paleView attachment 2701756
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) impokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari.
Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo yana melekeo wa kutaka wananchi wasiwe na imani na Serikali, kuchochea wananchi kuwa na mapokeo hasi juu ya utekelezaji wa mipango ya Serikali yao kwa ujumla, na kuwa ni wimbo wa uchochezi baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wananchi wake.
Hivyo, kwa barua hi, TCRA inaelekeza chombo chako cha habari kutopiga wimbo huo.
Tafadhali zingatia maelekezo.
Pia soma: Nay wa Mitego aitwa BASATA. Atuma Wanasheria wake
Fear of the unknown...! Maneno ya Mungu yanasema: Mwenye dhambi hana raha..! (Yaani ni mtu wa kujistukia kila wakati)View attachment 2701756
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) impokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari.
Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo yana melekeo wa kutaka wananchi wasiwe na imani na Serikali, kuchochea wananchi kuwa na mapokeo hasi juu ya utekelezaji wa mipango ya Serikali yao kwa ujumla, na kuwa ni wimbo wa uchochezi baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wananchi wake.
Hivyo, kwa barua hi, TCRA inaelekeza chombo chako cha habari kutopiga wimbo huo.
Tafadhali zingatia maelekezo.
Pia soma: Nay wa Mitego aitwa BASATA. Atuma Wanasheria wake
Ata wakiingia chadema lazima atakosoa tu, ukikosea anakuchana hanaga unafiki kama unaotaka wewe awe! anaamini katika uwajibikaji na usipowajibika anakukumbusha haijalishi wewe ni nan!? amkeni acheni uchawaNey kazoea kukosoa tuu kipindi cha magufuli alikosoa leo hii tena anasema anamkumbuka magufuli hata sielewi anasimamia wap