TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

Hii nchi tatizo ina viongozi washamba sana na hawana exposure. Marekani Nipsey Hussle aliwahi kuimba nyimbo ya “F*CK DONALD TRUMP” na bado hakukuwa na upumbavu wowote. Msikosolewe nyie ni nani..? Mnatembea ulaya huko kila siku ila akili zenu bado zipo fixed, exposure mnayoipata hata haiwasaidii.
 
Kwani kuna Mtanganyika aliye na imani na serikali ile?
 
Zama hizi za simart fon nikujisumbua tu nipo pale naangalia AMKEN YA NEY
 
Ndiyo demokrasia ya akina Nape after 5yrs of hopelessness!😁.
 
Safi sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hata kama wakiuzuia lakini haiondoi ukweli kuwa tuna rais wa hovyo haijawahi kutokea toka tupate uhuru1961.Mungu kazi yako haina makosa ikikupendeza mchukue na huyu.
Muda wa nchi kuongozwa na mwanamke haujafika imekuwa bahati mbaya rais aliyechaguliwa kafariki. Nchi imeharibiwa sana.
 
Watanzania tunampenda watu waimbe mapenzi. tu, Kuna njia nyingi za kukosa ni pamja na kupitia nyimbo. Kuna maneno baadhi yaliyotumika sija yapenda lakini bado haileti faida kuufungia. Watu wengi wataufuatilia.
 
Ney kazoea kukosoa tuu kipindi cha magufuli alikosoa leo hii tena anasema anamkumbuka magufuli hata sielewi anasimamia wap

Kuna:

  • Goood.
  • Bad
  • Worse.

Ukikutana na worse unaweza kumbuka bad.
 
Jamaa anatoa ngoma akijua kesho yake atakuwa ofisi za basata kutoa maelezo.
 
Kwani kutokua na imani na serkali ni kosa?
Tena hawa walikuja kasi wakidai democracy imerudi na wakaruhusu freedom waliyotuambia ilikuwa imefunikwa na madictator wa awamu flani,

Sasa yako wapi maneno yao.

Wao wanataka kuskia mazuri tu?
 
Chawa wa dikteta dhaifu wako kazini
 
Wanataka watu waendelee kusikiliza
Miziki ya kpmb#v
Sjui umwagie ndani

Inama nkupake mafut nkuchomeke

Ova

TCRA nao wanajitoa ufahamu ,minyimbo ya matusi ndiyo yanapewa airtime ,weka mate niteleze kama nyoka pangoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…