TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

Kitengo cha propaganda Cha CCM kimekufa? Serikali inaposhambuliwa wao wangekuja Kwa wananchi na vyombo vya habari kutoa ufafanuzi na kujibu mashambulizi ilikuitetea serikali ya chama chao. Badala yake wanatumika chawa ambao kiukweli hawana ufahamu wa maswala mengi ya uendeshaji wa serikali. Hii nchi imekuwa ni nchi ya kujipendekeza upate mlo au cheo. Nchi ya machawa.

Tukiacha unafiki kuna baadhi ya mambo aliyoyasema Ney je hayapo?,
Mfano wezi wanafanywa nini? kataja report ya CAG kama mfano.
Utendaji wa bunge letu ukoje?
Hili la bandari kuuzwa hapo kasema uongo, bado ni mapema kuhukumu
 
Too late, tunao tayari
 
TCRA nao wanajitoa ufahamu ,minyimbo ya matusi ndiyo yanapewa airtime ,weka mate niteleze kama nyoka pangoni.
Miziki ina promote ushoga na ujinga ujinga wanaziachiaaaa
Miziki yenye ujumbe hawataki ipigwe
Ndomana sahv miziki mingi ndy hyo ya kupaka mate nk

Ova
 
Hata wasipopiga, maana tayari vibanda vya kuingiza nyimbo wanao.
 
Fear of the unknown...! Maneno ya Mungu yanasema: Mwenye dhambi hana raha..! (Yaani ni mtu wa kujistukia kila wakati)

Sent using Jamii Forums mobile app

Cha kustaajabisha ni kwamba hakuna hata mmoja katika makundi yote kati ya serikali na wananchi na wenyenchi asie na dhambi japo hata kiduchu. Hayupo.





Its a game of Chase, no move is wasted and the King is always protected.
 




Viongozi wetu wanatokana na jamii zetu. Viongozi wetu ni matokeo ya jamii zetu.

Hata siku moja nazi haiwezi kuota kwenye mti wa mpera.
 
Muda wa nchi kuongozwa na mwanamke haujafika imekuwa bahati mbaya rais aliyechaguliwa kafariki. Nchi imeharibiwa sana.
Kweli kabisa.kila sehemu ya nchi hii inanuka uozo.huyu hastahili kabisa kuwa ...sema tu ndiyo hivyo katiba iliyowekwa na wabunge punguani imemweka madarakani
 
Muda wa nchi kuongozwa na mwanamke haujafika imekuwa bahati mbaya rais aliyechaguliwa kafariki. Nchi imeharibiwa sana.
Uliyeharibika ni wewe,kuwa mvivu.Fanyakazi,mtu mvivu kwa kulalamika hawezekani.Leo tunashindwa na wengi wa wachaga na wapemba wanajituma,na wanamaedeleo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
hizoo sababu TCRA wamezitoa hazina mantiki kungekuwa na mfumo wa chama kimoja ni sawa ila sio kwa mfumo wa vyama vingi.

kuna haja ya waandishi wa habari kuwahoji hawa TCRA kuhusu sababu walizo zitoa maana hazina maana.
 
Ney kazoea kukosoa tuu kipindi cha magufuli alikosoa leo hii tena anasema anamkumbuka magufuli hata sielewi anasimamia wap
Ukiona humueewi Ney jua ya kuwa wewe si mlengwa kwenye "semi" zake....
 
Mbona wamekosea jina lake? Emmanuel Elibariki Kingu ndio jina lake πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ney kazoea kukosoa tuu kipindi cha magufuli alikosoa leo hii tena anasema anamkumbuka magufuli hata sielewi anasimamia wap
Washabiki ndiyo wanasifia bila kukosoa. Watu wanaotafuta ukweli wanasifia na kukosoa.
 
View attachment 2701993


Viongozi wetu wanatokana na jamii zetu. Viongozi wetu ni matokeo ya jamii zetu.

Hata siku moja nazi haiwezi kuota kwenye mti wa mpera.
Again, tafuta exposure in real life na uachane na kupata exposure yako kwenye mitandao.
Nipsey was never killed kwa sababu za kisiasa, get your fact straight. Na Nipsey FDT haikuwa nyimbo yake ya kwanza kuikosoa serikali, he has several. Kwa nyie msiokuwa na exposure, let us tell you this, in America kufa kwa gunshot ni rahisi kuliko kufa na magonjwa ya aina yeyote. So yes, kufungia nyimbo za artists sababu wamekosoa serikali sounds like a thing did in 10th century huko.
 
Very wrong move ya mamlaka.

Serikali imeshajiweka kwenye spotlight inavyopingana na UHURU WA SANAA ambapo dunia yote imeridhia.

Subirini mwangwi wake soonest
 

The truth is in this modern age huwez kufungia kitu 100% wasikipate. Wameshachelewa
 
Si ni ukweli hatuna imani nayo au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…