TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

Hivi viongozi wetu Ina maana walienda shule na Bado hawajaelimika au ni upumbavu wao tu wakuzaliwa

Au sisi wananchi tuonekana kama mazezetata
 
hujui uandishi wa barua za serikali.
 
Apige YouTube na Spotify hakuna shida hawawezi kuzuia mafuriko kwa viganja
 
Mbona zile nyimbo za machawa wa CCM hawazifungii?
Ama ndo chawa wanaruhusiwa CCM tu[emoji16] ila vyama vingine hapana.
 
Ile hata waisome namba haileti uchochezi na Dhihaka kwa Wapinzani ?!!!
 
Kinachonishangaza mimi ni kwmba wanaokosoa saiv wanajifanya kumtaja magufuli wakati walisem yeye ndo alikua hafai kabisa.

Mimi binafsi napinga anachokifanya huyu mama lkn wapinzani wamekosa agenda na ni wapumbavu. Walimtukana sana jiwe leo wanajifanya kumtaja kinafki
 
Kabisa
Wapinzani wajipambanie wenyewe bila kutegemea kivuli Cha JPM waliyemtukana kila aina ya tusi na walifurahia sana kifo chake.
 
TCRA Wanachekesha kwerikweri. Wafungie YouTube na kwenye simu zetu
 
Maklasimeti Wana maamuzi ya hovyoo wakati mwingine!!
 
Kuzuiya hiyo si Mrima wala Mvita. Hiyo kama Unguja pembezoni.
 

My dear boy, Politics & politicians run the show.

Hizo exposure nimewaachia nyie. Ahsante
 
Lakini ngoma inaujumbe wa moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…