Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
itakuwa ni viwanda vya cherehaniKwanini walazimishe laini 30 kwa ajiri ya kampuni? Kwanini sio 100 au 200? 30 kwa vigezo gani?
Hivi hawa jamaa huwa wanatumia kiungo gani kufikiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itakuwa ni viwanda vya cherehaniKwanini walazimishe laini 30 kwa ajiri ya kampuni? Kwanini sio 100 au 200? 30 kwa vigezo gani?
Hivi hawa jamaa huwa wanatumia kiungo gani kufikiri?
laiti Chakwera ndo angeshinda hapa kwetu, kwahiyo kazi ya ile fingerprint ya nida ilikuwa nini serikali woga kama hili sijawahi onaSheria ya umiliki wa laini moja ya simu kwa kila mtandao imeanza kutumika leo Julai Mosi 2020 ambapo ndio siku ya kwanza ya mwaka wa fedha wa serikali.
Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja, isipokuwa atalazimika kutolea ufafanuzi laini ya ziada, na kwamba lengo la sheria hiyo ni kudhibiti umiliki holela wa laini za simu na kudhibiti uhalifu.
“Kuna wengine wanasajili [laini zaidi ya moja] kwa ajili ya matumizi ya biashara au majumbani, hivyo huwezi kuwafunga kwa kuwaambia wamiliki laini moja,” amenukuliwa Msemaji wa TCRA, Semu Mwakyanjala wakati akizungumza na Gazeti la Mwananchi.
Kifungu cha 18 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, sheria ya usajili wa laini za simu ya mwaka 2020 inaeleza kuwa mtu anatakiwa kumiliki laini moja ya simu kwa mtandao kwa ajili ya matumizi ya kupiga, kutuma jumbe na huduma za intaneti.
Sheria hiyo inaeleza kuwa mtu atakayemiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao kinyume cha sheria atatozwa faini ya TZS 5 milioni au kifungo jela kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja.
Na katika kila siku ambayo laini ya ziada ilitumika mhusika atalipa faini ya TZS 75,000 kwa siku.
Aidha, sheria hairuhusu kampuni kumiliki laini zaidi ya 30 ambazo zitatumika katika kupiga, kutuma jumba au huduma ya intaneti. Endapo kampuni itakiuka sheria hiyo, itatozwa faini isiyopungua TZS 50 milioni pamoja na TZS 175,000 kwa kila siku ambayo laini za/ya ziada ilitumika.
Wananchi kupitia mitandao ya kijamii wameonekana kuilalamikia sheria hiyo ambayo baadhi wamedai kuwa inaminya uhuru wao.
Pia soma > Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020
walikuwa ccm siunazijua akili zao zinawaza tu kula,kusifu na kuabudu... halafu hayo ni maelezo ya huyo afisa wa TCRA aliyekuwa anahojiwa; sheria haitamki hivyo; haiko wazi kwenye hilo; haitoi hiyo provision! Wanaotunga hizi sheria sijui wanakuwa wamesinzia?
Huyo mkurugrnzi naona hajui kazi, yake na kakurupuka maana ya kusumbua watu na NIDA ilikuwa Nini Sasa, TCRA Kama chombo Ina Mambo mengi muhimu kuliko kuanza kuchosha watu kujaza ma form na tayari wamejisajili kwa finger print. Hizi nafasi nyingine wawe wanatafutwa watu wenye exposure wanaofikiria mbele kuliko wanaofikiria kinyume nyume.Sasa maana ya fingerprint za NIDA ni nini.
Hii nchi kwenye mambo tunayopiga hatua mbela hapakosekani mtu wa kiturudisha hatua mbili nyuma.
Yani huyo kiongozi wa tcra sijui mwakanani kaona tcra pamepoa kaamua tu kuamka asubuhi na kuleta sheria za ajabu ajabu ilimradi asikike tu, Huu ni ushamba!!.
Kile kipindi tulipokuwa hatusajili kwa fingerprint ndio hii sheria ilibidi itumike kwasababu ya uhalifu mwingi mitandaoni.
Ila sasa hivi kweli inaingia akilini ninasajili line zangu kwa alama za vidole alafu kiongozi moja huko tcra kaamka anavyojijua yeye katunga sheria kwa kakichwa kake kamoja kutuletea kero watanzania.
Naposajili line kwa fingerprint inamaana utambulisho wangu kwa laini hata zikiwa kumi ni ule ule, sasa ya nini tena tunaanza kuminyana tena kwa sheria hizi za kijinga, mbaya zaidi zimetungwa na TCRA tunaodhani wapo mbali kiteknolojia na wanajua umuhimu wa fingerprint.
Kitu kingine kinachonipa wasiwasi na huyu kiongozi wa tcra ni kama ana cheti cha kughushi, hivi sheria inaanzaje kutumika leo na adhabu zinaanza leo leo bila kutoa mda kwa wenye lain zaidi ya moja waende ofisi za mitandao kuzifungia line zao za ziada maa kwenda tcra kuomba fomu za kuruhusu lain zaidi ya moja, huyu kiongozi achunguzwe
Huyu kiongozi wa TCRA lazima ana shida mahali hivi hzo form mtu anazipata wapi, why kusumbua Raia eti ujieleze kwanini una line nyingi?Sasa maana ya fingerprint za NIDA ni nini.
Hii nchi kwenye mambo tunayopiga hatua mbela hapakosekani mtu wa kiturudisha hatua mbili nyuma.
Yani huyo kiongozi wa tcra sijui mwakanani kaona tcra pamepoa kaamua tu kuamka asubuhi na kuleta sheria za ajabu ajabu ilimradi asikike tu, Huu ni ushamba!!.
Kile kipindi tulipokuwa hatusajili kwa finger print ndio hii sheria ilibidi itumike kwasababu ya uhalifu mwingi mitandaoni.
Ila sasa hivi kweli inaingia akilini ninasajili line zangu kwa alama za vidole alafu kiongozi moja huko tcra kaamka anavyojijua yeye katunga sheria kwa kakichwa kake kamoja kutuletea kero watanzania.
Naposajili line kwa fingerprint inamaana utambulisho wangu kwa laini hata zikiwa kumi ni ule ule, sasa ya nini tena tunaanza kuminyana tena kwa sheria hizi za kijinga, mbaya zaidi zimetungwa na tcra tunaodhani wapo mbali kiteknolojia na wanajua umuhimu w afingerprint.
Kitu kingine kinachonipa wasiwasi na huyu kiongozi wa tcra ni kama ana cheti cha kughushi, hivi sheria inaanzaje kutumika leo na adhabu zinaanza leo leo bila kutoa mda kwa wenye lain zaidi ya moja waende ofisi za mitandao kuzifungia line zao za ziada maa kwenda tcra kuomba fomu za kuruhusu lain zaidi ya moja, huyu kiongozi achunguzwe
Maswali ya msingiHuo ufafanuzi watu wanautolea wapi?
Hiyo sheria ilitungwa lini? Inawahusu na wale waliosajiri namba zaidi ya moja kabla sheria haijatungwa?
Wewe ni mwanasiasa wa Ufipa?Ninazo line
3 za tigo
2 za halotel
1 ya Voda
1 ya airtel
Ndio.Unaweza sajili laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja kwa alama za vidole?
😀 Hapana mkuu. Line mbili za tigo zinatumika kwenye vifaa vingine ambavyo sio simu. Moja ya halotel anatumia dogo, hizo nyingine ni mazingira tu yalinifanya nikawa nazo.Wewe ni mwanasiasa wa Ufipa?
hawa wote c akili zao zimewekwa kwenye mfuko moja na mweyekiti wa ccmsasa maana ya fingerprint za NIDA ni nini.
Hii nchi kwenye mambo tunayopiga hatua mbela hapakosekani mtu wa kiturudisha hatua mbili nyuma.
Yani huyo kiongozi wa tcra sijui mwakanani kaona tcra pamepoa kaamua tu kuamka asubuhi na kuleta sheria za ajabu ajabu ilimradi asikike tu, Huu ni ushamba!!.
Kile kipindi tulipokuwa tunasajili laini hata tano kwa vitambulisho tofauti tofauti ndio hii sheria ilibidi itumike kwasababu ya uhalifu mwingi mitandaoni.
Ila sasa hivi kweli inaingia akilini ninasajili line zangu kwa alama za vidole alafu kiongozi moja huko tcra kaamka anavyojijua yeye katunga sheria kwa kakichwa kake kamoja kutuletea kero watanzania.
Naposajili line kwa fingerprint inamaana utambulisho wangu kwa laini hata zikiwa kumi ni ule ule, sasa ya nini tena tunaanza kuminyana tena kwa sheria hizi za kijinga, mbaya zaidi zimetungwa na tcra tunaodhani wapo mbali kiteknolojia na wanajua umuhimu w afingerprint.
Kitu kingine kinachonipa wasiwasi na huyu kiongozi wa tcra ni kama ana cheti cha kughushi, hivi sheria inaanzaje kutumika leo na adhabu zinaanza leo leo bila kutoa mda kwa wenye lain zaidi ya moja waende ofisi za mitandao kuzifungia line zao za ziada au kwenda tcra kuomba fomu za kuruhusu lain zaidi ya moja
huyu kiongozi ni Jipu.