Ukiona wanahangaika na Mange hivyo maana yake anachoandika ni kweli tupuMafisadi yamejipanga Kwa njia zote.
Leo wameamuru meta ambao ni wamiliki wa Instagram kushusha post zote za kuhusu ufisadi wa serikali
Kwamba serikali haitaki kuona post za watoto wa fisadi Seleman Momba ambaye ndo mkurugenzi wa usalama wa Taifa wakichezea mamilion ya USD nyumbani huku wananchi wakikosa hata nafasi katika mwendokasi
Serikali haitaki kuona magari ya kifahari ya Abduli
Serikali haitaki kuona apartments za Abdul
Haitaki wananchi waone manunuzi ya ovyo
Mange anahamasisha wananchi wakashitaki kwenye account ya White House ya USA na kwenye page ya Trump
Vita Bado mbichi
Sasa hivi mmeanza kumuelewa ee.META nao wametii ombi la serikali ya Tanzania?
Aje X alianzishe upya, mapambano hayaishi, huyu dada amekuwa speaker wa wengi...I don't like her attitude ila kwa kinachoendelea wacha afanye.
Mkuu,Sasa hivi mmeanza kumuelewa ee.
Eti waamuru meta kufuta post zakeMafisadi yamejipanga Kwa njia zote.
Leo wameamuru meta ambao ni wamiliki wa Instagram kushusha post zote za kuhusu ufisadi wa serikali
Kwamba serikali haitaki kuona post za watoto wa fisadi Seleman Momba ambaye ndo mkurugenzi wa usalama wa Taifa wakichezea mamilion ya USD nyumbani huku wananchi wakikosa hata nafasi katika mwendokasi
Serikali haitaki kuona magari ya kifahari ya Abduli
Serikali haitaki kuona apartments za Abdul
Haitaki wananchi waone manunuzi ya ovyo
Mange anahamasisha wananchi wakashitaki kwenye account ya White House ya USA na kwenye page ya Trump
Vita Bado mbichi
Mkuu acha tuu haya mambo yanaumiza sana sometimes najuta kumjua, jinsi anachimbua maovu ya serikali mpaka unatamani kulia, ila ndio vizuri tuumie ili tuchukue hatua.Mkuu,
Kwa aina ya serikali na utawala tulionao ngoja tu afanye.
Mange ndio mkombozi wetu anatuhamasisha sana ikitokea wakafungia mitandao sijui itakuaje kwasababu watz bila hamasa hawaendi kabisa, ngoja tuone mwisho wake.Wahuni wana wakati mgumu sana. Wakimteka huyu, anaibuka mwingine zaidi ya yule waliye mteka! Wakifungia mtandao huu, mtandao mwingine unaendeleza mapambano!
Hakika ninawatabiria mabaya siku zijazo.
Wanafanya biashara gani na Tanzania? Believe or not wataukua ukweli na wataachia access kwa zile post msizopenda kuziona!!Meta ni wafanya biashara hawapo tayari wapoteze biashara Yao TANZANIA kisa Mange