GE2025 TCRA yazuia maudhui ya Mange Kimambi kuonekana Tanzania. Waamuru Meta kufuta post zake!

GE2025 TCRA yazuia maudhui ya Mange Kimambi kuonekana Tanzania. Waamuru Meta kufuta post zake!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna nchi duniani iliyo 100% free

We love Russia China Brazil wtc

Try them
Acha kuzilinganisha hizo nchi ulizotaja hapo na hii taka taka mnayoita kisiwa cha amani, ambapo mnaongozwa na genge la wahuni na wabinafsi waliokosa uzalendo hata chembe.
 
Mtakimbia nchi mafisadi wakubwa nyie
Huyo kahaba wa msikitini wala hata sio mnufaika wa ufisadi.. wanufaika wa ufisadi hatuwezi kuwaona humu, huyo ni miongoni mwa wale wapumbavu walioamua kuwa machawa wa shetani samia kwa sababu za mfanano wa kiimani.
 
Hakika mkuu
 
Mafisadi yamejipanga Kwa njia zote.
Leo wameamuru meta ambao ni wamiliki wa Instagram kushusha post zote za kuhusu ufisadi wa serikali

Kwamba serikali haitaki kuona post za watoto wa fisadi Seleman Momba ambaye ndo mkurugenzi wa usalama wa Taifa wakichezea mamilion ya USD nyumbani huku wananchi wakikosa hata nafasi katika mwendokasi

Serikali haitaki kuona magari ya kifahari ya Abduli

Serikali haitaki kuona apartments za Abdul

Haitaki wananchi waone manunuzi ya ovyo

Mange anahamasisha wananchi wakashitaki kwenye account ya White House ya USA na kwenye page ya Trump

Vita Bado mbichiView attachment 3488673View attachment 3488674
View attachment 3488675
Tunatumua vpn
Pia watu washable download kitambo hizo onfo
 
Mkuu acha tuu haya mambo yanaumiza sana sometimes najuta kumjua, jinsi anachimbua maovu ya serikali mpaka unatamani kulia, ila ndio vizuri tuumie ili tuchukue hatua.
Mimi nilipoona muamala wa equity Bank wa billion 4 yale masifuri yalivyomeng hadi nikadondosha simu kwenye ndoo ya maji, nilijishangaa sana
 
images (12).jpeg

Hii ng'ombe sijui akili zake zipo makalioni. Sijawahi kuona CEO takataka kama huyu. Amefanya Facebook, Instagram kuwa sehemu ya hovyo sana siku hizi na vigezo masharti anavyoweka mpuuzi huyu.

Twitter na Truth will always be the best social media network.
 
Mafisadi yamejipanga Kwa njia zote.
Leo wameamuru meta ambao ni wamiliki wa Instagram kushusha post zote za kuhusu ufisadi wa serikali

Kwamba serikali haitaki kuona post za watoto wa fisadi Seleman Momba ambaye ndo mkurugenzi wa usalama wa Taifa wakichezea mamilion ya USD nyumbani huku wananchi wakikosa hata nafasi katika mwendokasi

Serikali haitaki kuona magari ya kifahari ya Abduli

Serikali haitaki kuona apartments za Abdul

Haitaki wananchi waone manunuzi ya ovyo

Mange anahamasisha wananchi wakashitaki kwenye account ya White House ya USA na kwenye page ya Trump

Vita Bado mbichiView attachment 3488673View attachment 3488674
View attachment 3488675
Actualy sio tcra ni Meta, and unajua jambo la ajabu meta wanaweza rudisha account
 
Back
Top Bottom