TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Dogo… nakuelewa sanaHii imezidi imejaa upuuzi mwingi.
Lakini try baadhi ya content hizo nilizotaja
Dogo… nakuelewa sanaHii imezidi imejaa upuuzi mwingi.
Hapo sasaIla Mange anajuaga kuiendesha hii government mputa mputa. Wangeifunga Insta kabisa tuone hao wasanii chawa wangeuza vipi kazi zao.
Angekua na mwili mwili tungempa nchi.Ila Mange anajuaga kuiendesha hii government mputa mputa. Wangeifunga Insta kabisa tuone hao wasanii chawa wangeuza vipi kazi zao.
Ukiona hivyo, mkuki wa Mange umeingia. Hongera Mange Kimwamba Kimambe Kitatange mwanawetuNchi ya hovyo sana hii.
Kwa kweli naona, ila kimambio mwenyewe nasikia wamekwisha mfungia maakaunt huko kwa meta.Ukiona hivyo, mkuki wa Mange umeingia. Hongera Mange Kimwamba Kimambe Kitatange mwanawetu
Kumbe na ww mavi yanagonga teitei eh?Safi sana !leo ntalala usingizi muruwaaaaaa
😂😂Angekua na mwili mwili tungempa nchi.
Nyerere alikuwa slender lakini aliongoza nchi inasemekana alikuwa anaogopwa hadi na ma baunsa utafikiri amemeza hirizi ya SimbaAngekua na mwili mwili tungempa nchi.
Ulijua yanagonga kwako na kwa baba yako tu! huh?Kumbe na ww mavi yanagonga teitei eh?
TwafwaaMafisadi yamejipanga Kwa njia zote.
Leo wameamuru meta ambao ni wamiliki wa Instagram kushusha post zote za kuhusu ufisadi wa serikali
Kwamba serikali haitaki kuona post za watoto wa fisadi Seleman Momba ambaye ndo mkurugenzi wa usalama wa Taifa wakichezea mamilion ya USD nyumbani huku wananchi wakikosa hata nafasi katika mwendokasi
Serikali haitaki kuona magari ya kifahari ya Abduli
Serikali haitaki kuona apartments za Abdul
Haitaki wananchi waone manunuzi ya ovyo
Mange anahamasisha wananchi wakashitaki kwenye account ya White House ya USA na kwenye page ya Trump
Vita Bado mbichiView attachment 3488673View attachment 3488674
View attachment 3488675
Ulivyokuzwa ww inatosha!Kizimkazi laZima tuwakuze hapa nyumbani Tanganyika
Hii CCM ya sasa ndio CCM ya kipumbavu na ya ovyo kuwahi kutokea, kiasi kwamba inachukiwa mpaka na wanaccm wenyewe tena wengi tu.Kati ya serikali mbovu kuwahi tokea ndo hii, yaani uchafu wao mpaka wenyewe wanashindwa kuutetea, inshort Utawala wa Samia umejua kuwavua nguo CCM.