tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Kwani anachoongea sio cha kweli mkuu? Attitude yake huopendi kovipi?META nao wametii ombi la serikali ya Tanzania?
Aje X alianzishe upya, mapambano hayaishi, huyu dada amekuwa speaker wa wengi...I don't like her attitude ila kwa kinachoendelea wacha afanye.