100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
TCRA itakuwa wanawatishia meta ya kwamba wasipofuata hayo maelekezo watai block meta Tanzania ka ailivyotokea kwa twitter.META nao wametii ombi la serikali ya Tanzania?
Aje X alianzishe upya, mapambano hayaishi, huyu dada amekuwa speaker wa wengi...I don't like her attitude ila kwa kinachoendelea wacha afanye.
Ni vyema meta wakatae kupelekeshwa na TCRA ili kusudi waki block na chawa wapate hasara na machungu, maana ni mtandao wao pendwa. Hapo tukose wote tubaki tunawasha VPN.
Mkuu ngara23 rekebisha sio kwamba wamemfungia Mange, ila kuna baadhi ya posts hazionekani Tanzania lakini ukiwasha VPN zinaonekana.
Mpaka kieleweke.