JaphetJacob
Senior Member
- Dec 11, 2015
- 106
- 121
Unayesema hivyo unaitwa Jane Lowassa ingekua ni rahisi kuipata wote tungeikomaliaWatu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha
mtaa gan huo nije[emoji3]Watu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha
Hii GPA ya 32 inatolewa Lumumba university?Wenye GPA za 32 nao wapewe nafasi, nchi huru hii jamani.
Teuzi = 6M + Teuzi scale
Prof 6M
Associate Prof 4M+
Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!
Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!
Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
Umenichekesha sana mkuu, ila apo kwenye TA imepungua kidogo na kwenye Assistant Lecturer umeongeza sana. Hakuna hela mkuu mana take home ukiwa na loan board na vikolokolo vingine unaondoka na nusu ya mshahara sasa kama take home ni nusu ya basic salary unaondoka na hela ndogoTeuzi = 6M + Teuzi scale
Prof 6M
Associate Prof 4M+
Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!
Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!
Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
Eti vyuo vya KataHiyo kwa Vyuo vya kata mbona kawaida 3.5 kitamboo. Pale UD, MUHAS na SUA mziki bado 3.8
Kama haijabalance njoo tulime matikiti maana wanadai masters 4.0 ni pie! 🤣🤣🤣Hivi hapo kama hazija balance hiyo 3.5 and 4.0 inakuwaje? Mfano nna 4.5 n 3.8 (Bsc n Msc), tupeane akili na mawazo hapo, maana nilikuwa nafukuzia fukuzia NIT ila hii Corona imeleta shida.
Alexander The Great
Inategemea ulisomaje hio miaka mitano, kama ni kwa retake huenda mpunga ukawa hafifu zaidi 🤣🤣🤣TA aliyesoma miaka mitatu na mitano si huwa wana scale tofauti ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo tunaitaga 250/260 🤣🤣🤣Kusema ukweli, mimi tangu 1st year sijawahi fika GPA ya 3.0, nacheza 2.5 2.6, naamini kikubwa kumaliza. NB! SUP ni ndugu yangu damu damu.
Karibuni.
Kuwa Academic Staff/Researcher ni ngumu Sana kwa vijana wetu Hawa wavaa mlegezo. Kule Ni muda wote kushusha "utirio", kufanya tafiti na ku-present kwa kiingereza Tena Mbele ya kadamnasi.Hizo tunaitaga 250/260 🤣🤣🤣
Hao vipaji maalumu, kuna mwanangu tulipiga Dip, alikuwa anakalisha 4.6 semister zote! Akamhamia mzumbe ICT-B mwendo ukawa ule ule mammke!ivi wanaopataga 5.0 GPA huwa wanawezajeee? manake wengi wetu tulipata below 3.5.
Tatizo kubwa mtaani ni kubadili GPA kuwa helaaaaa
Teuzi = 6M + Teuzi scale
Prof 6M
Associate Prof 4M+
Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!
Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!
Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
Vijana wanataka kumenya tu...Desa linachomolewa google wanaingia pindi ku narrate kisha mchezo umeisha.🤣🤣🤣....Kuwa Academic Staff/Researcher ni ngumu Sana kwa vijana wetu Hawa wavaa mlegezo. Kule Ni muda wote kushusha "utirio", kufanya tafiti na ku-present kwa kiingereza Tena Mbele ya kadamnasi.
**kukosolewa nje nje tofauti na kuwa Cashier NMB
Part-timer lazima awe na vigezo vya kuwa full timeDoh bhasi wamebana eneo hilo
Lakini ukiwa na Limaster lako unaweza kuomba part time lecture au occasion lecture au na hii wameifuta