Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Watu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha
Unayesema hivyo unaitwa Jane Lowassa ingekua ni rahisi kuipata wote tungeikomalia
 
Teuzi = 6M + Teuzi scale

Prof 6M

Associate Prof 4M+

Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!

Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!

Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.

TA aliyesoma miaka mitatu na mitano si huwa wana scale tofauti ?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi hapo kama hazija balance hiyo 3.5 and 4.0 inakuwaje? Mfano nna 4.5 n 3.8 (Bsc n Msc), tupeane akili na mawazo hapo, maana nilikuwa nafukuzia fukuzia NIT ila hii Corona imeleta shida.

Alexander The Great
 
Teuzi = 6M + Teuzi scale

Prof 6M

Associate Prof 4M+

Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!

Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!

Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
Umenichekesha sana mkuu, ila apo kwenye TA imepungua kidogo na kwenye Assistant Lecturer umeongeza sana. Hakuna hela mkuu mana take home ukiwa na loan board na vikolokolo vingine unaondoka na nusu ya mshahara sasa kama take home ni nusu ya basic salary unaondoka na hela ndogo
 
TA aliyesoma miaka mitatu na mitano si huwa wana scale tofauti ?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Inategemea ulisomaje hio miaka mitano, kama ni kwa retake huenda mpunga ukawa hafifu zaidi 🤣🤣🤣
 
Hizo tunaitaga 250/260 🤣🤣🤣
Kuwa Academic Staff/Researcher ni ngumu Sana kwa vijana wetu Hawa wavaa mlegezo. Kule Ni muda wote kushusha "utirio", kufanya tafiti na ku-present kwa kiingereza Tena Mbele ya kadamnasi.
**kukosolewa nje nje tofauti na kuwa Cashier NMB.
NB: Sasa na GPA yako ya 3.5 toka TUDARCO akili ya kushusha tirio za kueleweka utautoa wapi?
 
Teuzi = 6M + Teuzi scale

Prof 6M

Associate Prof 4M+

Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!

Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!

Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.

Aisee inaonekana unaipenda hii kazi,ingekuwa kuna kubadilishana GPA ningekupa yangu maana imekidhi vigezo na siitumii
 
Kuwa Academic Staff/Researcher ni ngumu Sana kwa vijana wetu Hawa wavaa mlegezo. Kule Ni muda wote kushusha "utirio", kufanya tafiti na ku-present kwa kiingereza Tena Mbele ya kadamnasi.
**kukosolewa nje nje tofauti na kuwa Cashier NMB
Vijana wanataka kumenya tu...Desa linachomolewa google wanaingia pindi ku narrate kisha mchezo umeisha.🤣🤣🤣....

Sasa kama mtu alimlipa mdau ampigie Research unategemea anasimama vipi?
 
Back
Top Bottom