Watu wanawaza kuajiriwa tu. Kweli umaskini hautaisha. Eti PhD holder anapigia mahesabu 3.2 million kwa mwezi. Hapo bado NSSF sijui PAYE na takataka nyingine. Wakati mtaani hiyo 3 m tunapata ndani ya wiki tu. Kweli umaskini hautaisha
Wewe hujui unadanganya watu. Tofauti ya full prof na associate Professor ni 300,000 tuTeuzi = 6M + Teuzi scale
Prof 6M
Associate Prof 4M+
Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!
Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!
Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
Hahahah kwahio full prof anakula 4.7 sio? Hongera sana mkuu maana mie hizi info nazitoa katika chanzo cha uhakika.Wewe hujui unadanganya watu. Tofauti ya full prof na associate Professor ni 300,000 tu
Kusema ukweli, mimi tangu 1st year sijawahi fika GPA ya 3.0, nacheza 2.5 2.6, naamini kikubwa kumaliza. NB! SUP ni ndugu yangu damu damu.
Karibuni.
Mhuuuuum hapa umelisha watu sumu. Kafanye research tena. Hakuna prof anachukua 6M.Teuzi = 6M + Teuzi scale
Prof 6M
Associate Prof 4M+
Masters level ukishalamba u lecturer hukosi 3M+ per Month!
Ukianza na u TA ni 1.3M kitu kama hicho!
Kuwa Academician kunalipa sana tu. Ni vile penye miti hapana wajenzi.
Huna chanzo cha uhakika wewe. Prof mashahara wake ni zaidi ya waziriHahahah kwahio full prof anakula 4.7 sio? Hongera sana mkuu maana mie hizi info nazitoa katika chanzo cha uhakika.
Nafikiri ingependeza ungetaja bei halisi maana ungetusaidia wote kuliko kuishia ku oppose the motionMhuuuuum hapa umelisha watu sumu. Kafanye research tena. Hakuna prof anachukua 6M.
Ukilinganisha hivyo ni shida maana President ni 9.5 m officiallyYani nikiona mshahara wa PhD holder ni huu nachoka kabisa inakatisha tamaa
Ule wa waziri kigwanomics niniHuna chanzo cha uhakika wewe. Prof mashahara wake ni zaidi ya waziri
Oh Nadhani nakosea kujadiliana na dogo, byeUle wa waziri kigwanomics nini
Naona sio poa kutaja mishahara ya watu. Ila Najua PUTS zote ya UDSM.Nafikiri ingependeza ungetaja bei halisi maana ungetusaidia wote kuliko kuishia ku oppose the motion
We taja maana mie na refer staffs wa SUA!Naona sio poa kutaja mishahara ya watu. Ila Najua PUTS zote ya UDSM.
Sawa kubwa, have a great time!Oh Nadhani nakosea kujadiliana na dogo, bye
Hio haki labda itekelezwe jiwe akiwa hayupo! Otherwise tuandike maumivuBack to maada,hizo GPA ni minimum. Vyuo vina haki ya kuweka minimum zao.
UDSM hata ukiwa na PHD bila GPA ya 3.8 undergraduate ,hupati kazi.Hio haki labda itekelezwe jiwe akiwa hayupo! Otherwise tuandike maumivu
Minimum zipo hata kipindi hiki cha jiwe. UDSM minimum ni uwe na 3.8 GPA. Hata kama una PhD.Hio haki labda itekelezwe jiwe akiwa hayupo! Otherwise tuandike maumivu