TCU imevurunda kumpeleka mwanafunzi wa HKL kwenda kusoma Udakitari

Status
Not open for further replies.

Mkuu vijana wanaona chuo ni UD, Mzumbe na Sua.
 
kwa hizo cozi unazotaka pale ud huwezi ufaulu wako haukuruhusu kumbuka mwaka huu wenu wa BRN div one zipo nyingi sana so ww na hiyo div 2 huwezi ukaingia pale. kuna mwana hiyo ya petroleum katemwa na alikuwa na div one ya 10
 
kwa mfano wengine wamevijua vingine baada ya round ya pili! Kwa mfano teku ila sababu ni nini kwa mfano,,,

Sawa mkuu lakini maisha popote but ktk kuchagua kozi la ushindani ni muhimu kuzingatiwa.
 
kwa hizo cozi unazotaka pale ud huwezi ufaulu wako haukuruhusu kumbuka mwaka huu wenu wa BRN div one zipo nyingi sana so ww na hiyo div 2 huwezi ukaingia pale. kuna mwana hiyo ya petroleum katemwa na alikuwa na div one ya 10

Mkuu safari hii hapakuwa na divI-10.
 
kwa hizo cozi unazotaka pale ud huwezi ufaulu wako haukuruhusu kumbuka mwaka huu wenu wa BRN div one zipo nyingi sana so ww na hiyo div 2 huwezi ukaingia pale. kuna mwana hiyo ya petroleum katemwa na alikuwa na div one ya 10

kwa mfano division one ya kumi unamaanisha nini?
 
mbna maksi zako ndogo sana mdg wangu.....msipende kulazimisha mambo...wewe ni kilaza UDSM utaishia kudisco tu
 
Watu kama hao ni ulimbukeni ndio unawasumbua halafu hata humu wapo wengi sanaa!!!
 
mimi sio mfanyakazi tcu mimi ni mhitim tu wa 4m6 ila majina nimeyaona na kozi yangu nimeiona nikawangalizia na wengine wengi

waacheni hao wasioamini wataamini majina yao yakitolewa siku 3 kabla ya chuo husika kufungua
 
Mr Emmy hivi tu kisema we mzushi kupindukia tuna kosea?. hebu we evidence wa hayo maneno yako hapa tuone. la sivyo wewe ndio unapotosha uma kwa kutoa thread za uwongo. jamani tumkemee huyu. official results tumeambiwa ni baada ya kikao cha joint admission 22/9 hayo mingine ni uzushi tu.
 
Last edited by a moderator:

Ulisoma shule gani A-level?
 
kwa hizo cozi unazotaka pale ud huwezi ufaulu wako haukuruhusu kumbuka mwaka huu wenu wa BRN div one zipo nyingi sana so ww na hiyo div 2 huwezi ukaingia pale. kuna mwana hiyo ya petroleum katemwa na alikuwa na div one ya 10

One ya point kumi ya mwaka gani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…