AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Watanzania tunapenda sifa sana,watu wanafkr university of Dar es salaam ndo chuo pekee hapa Tanzania na hii imewagharimu wanafunzi wengi waliojipendekeza kukichagua wakati ufauru wao hauzid hata ponti 6 tena kwenye course zenye ushindani na mwisho wa siku hawakuchaguliwa kabsa.yupo kijana mmoja mm namwita n mpumbavu ni graduate (B.A Hons ) katka tawi la chuo kikuu cha Dar es salaam sitolitaja.nilikutana naye kipnd fulani akiwa katika mafunzo kwa vitendo wao wanaita field. nanukuu maneno yake "Nyie mliosoma vyuo vingne tofauti na University of Dar es salaam hamna sifa kabisa kile ndo chuo pekee angalia hata identity card yangu Imeandikwa univesity of Dar es salaam japo nasoma kwenye tawi la chuo kikuu cha Dar es salaam lakin nkimaliza ntapewa cheti kutoka main cumpus"sasa ndugu zangu watu kama hawa ndo wanawalisha sumu wadogo zetu hadi kufikia hatua ya kukosa nafasi kwa kun'gan'gania kuchagua hicho chuo wanahisi vyuo vingne havina sifa.
Mkuu vijana wanaona chuo ni UD, Mzumbe na Sua.