Team kali inahitajika kwa Kampuni ya Media

DocJayGroup

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2020
Posts
1,654
Reaction score
3,346
Hio Kampuni ya Media ambayo iko integrated kwa mambo ya tourism, ilibidi niiisimamishe kwa muda kwa sababu vijana waliokuwepo walikuwa waswahili, wavivu, na wasiojituma. Ili kuirudisha tena, nahitaji Vijana Wachapa Kazi sana. Kila mfanyakazi ni lazima ajue English vizuri kwa kunyooka sababu itahusika na International media productions.

Qualities za prospective team member jumla ni 5, namely,
(1)High level of English proficiency.
(2)Ability to commit kwa kazi na safari muda wowote.
(3)Uaminifu sana kwa kazi, rasilimali, na fedha.
(4)Akili ya kujifunza haraka,
(5)Mchapa kazi sana asiyeweka hela mbele.

Tanzania nifanyeje ili kupata vijana kama hao? Naombeni ushauri wana JF.

Studio kali. Majengo. Equipment za kisasa, na Magari (Land cruisers) vipo. Kweli kinachokosekana ni Team Kali. Na pasipo team kali, MAFANIKIO HAKUNA. Wajasiriamali wenzangu mnaelewa hilo. I.e. Your team will make you or break you. In other words, the quality of human resources determines whether the business succeeds or fails.

PS: Ofisi na makao makuu yako Arusha. Ila team itasafiri sehemu mbalimbali Tanzania.

PS: Tangazo official bado. Nimepost ili kupata ideas (brainstorming) za namna ya ku-recruit team members successfully. Kuna aliyeuliza contacts. Muda muafaka ukifika, zitawekwa.
 
Kwanza ajiri watu wenye uzoefu na hayo mambo kwa gharama yoyote pili fanya kazi kwa misingi ya sheria achana na mambo yakujuana
 
Ukiitaji IT expect kwa ushauri na project nipo kukusaidia
Mimi binafsi pia ni expert wa IT. Inasikitisha wafanyakazi wangu wote hata IT graduates always unakuta mimi nawazidi IT knowledge. Inatakiwa mfanyakazi akuzidi.. Ndio ule msemo kwamba "your employees should be smarter than you." Yani wanatakiwa wajue kukuzidi. Sasa hapo ndio imekuwa kazi kupata kijana wa IT anayejua kazi vizuri, na mwaminifu. Wengi waliomaliza chuo niliokutana nao ni theory zaidi. Ww una specific skills gani in IT?
 
kwanza ajiri watu wenye uzoefu na hayo mambo kwa gharama yoyote pili fanya kazi kwa misingi ya sheria achana na mambo yakujuana
Mambo ya kujuana ndio sina kabisa. Nilifanya ivyo nikaweka ndugu kwa projects flani flani wakaziua zote. Nikawafyekelea mbali kabisa. Ndio mambo yakanyooka.
 
kwanza ajiri watu wenye uzoefu na hayo mambo kwa gharama yoyote pili fanya kazi kwa misingi ya sheria achana na mambo yakujuana
Kwa gharama yeyote ni sawa kama mtu ana huo uzoefu (Experience Kubwa). No problem kabisa. Ila unakuta Mtu anasema ana uzoefu, lakini hakuna kitu. Yani nyani haoni ku&***le. Mtu ni sifuri kabisa, ila anajipamba kweli kwa maneno. Tanzania challenge ya skilled workers ipo sana sana. Watu wanaotaka kazi ni wengi. Ila quality ndio tatizo.
 
Mimi binafsi pia ni expert wa IT. Inasikitisha wafanyakazi wangu wote hata IT graduates always unakuta mimi nawazidi IT knowledge. Inatakiwa mfanyakazi akuzidi.. Ndio ule msemo kwamba "your employees should be smarter than you." Yani wanatakiwa wajue kukuzidi. Sasa hapo ndio imekuwa kazi kupata kijana wa IT anayejua kazi vizuri, na mwaminifu. Wengi waliomaliza chuo niliokutana nao ni theory zaidi. Ww una specific skills gani in IT?
Web development through Laraveli na django , User interface designing HTML, CSS na JavaScript through jQuery na vue , computer Network nipo deep kwenye TCP/IP , system designing through Object oriented designing and analysis
 
web development through Laraveli na django , User interface designing HTML, CSS na JavaScript through jQuery na vue , computer Network nipo deep kwenye TCP/IP , system designing through Object oriented designing and analysis
Cool bro. Uko vizuri sana as a web developer. How about app development? Binafsi web development pia niko vizuri. App development ndio sina uzoefu nayo na SIJAIFANYA KABISA.
 
App cjawai kufanya ila kiukweli mm naijua JavaScript vizuri kwaiyo kutumia library kama react

Unamaanisha mobile App za Android na iOS ?
 
Niwe mkweli kazi ngumu kwenye information systems development ni analysis na designing.implemention ni simple sana kwasababu saizi kuna library na framework nyingi
 
App cjawai kufanya ila kiukweli mm naijua JavaScript vizuri kwaiyo kutumia library kama react

Unamaanisha mobile App za Android na iOS ?
Yeah. Mobile apps as well as desktop apps
 
Cos naijua JavaScript na java vizuri kwaiy kutumia react native na flutter ni simple kwangu pia kutumia GUI ya Java ni simple
Very good bro. How many years of experience do you have as a Web and app developer?
 
Hio Kampuni ya Media ambayo iko integrated kwa mambo ya tourism, ilibidi niiisimamishe kwa muda kwa sababu vijana waliokuwepo walikuwa waswahili, wavivu, na wasiojituma. Ili kuirudisha tena, nahitaji Vijana Wachapa Kazi sana. Kila mfanyakazi ni lazima ajue English vizuri kwa kunyooka sababu itahusika na International media productions.

Qualities za prospective team member jumla ni 5, namely,
(1)High level of English proficiency.
(2)Ability to commit kwa kazi na safari muda wowote.
(3)Uaminifu sana kwa kazi, rasilimali, na fedha.
(4)Akili ya kujifunza haraka,
(5)Mchapa kazi sana asiyeweka hela mbele.

Tanzania nifanyeje ili kupata vijana kama hao? Naombeni ushauri wana JF.

Studio kali. Majengo. Equipment za kisasa, na Magari (Land cruisers) vipo. Kweli kinachokosekana ni Team Kali. Na pasipo team kali, MAFANIKIO HAKUNA. Wajasiriamali wenzangu mnaelewa hilo. I.e. Your team will make you or break you. In other words, the quality of human resources determines whether the business succeeds or fails.

PS: Ofisi na makao makuu yako Arusha. Ila team itasafiri sehemu mbalimbali Tanzania.
Weka mawasiliano tukusambazie tangazo upate wa kuwachuja
 
Nitumie namba yako WhatsApp tuyajenge 0719723119
 
Thanks for contacts. Ila Naweza pata namba ya whatsapp bro? Nimejaribu hio ili nikutumie yangu ila naona haiko active kwa whatsapp. Nipo nje ya nchi this minute kwa hio njia reliable ya kuwasiliana na Tz numbers ni kupitia whatsapp. Japo nitakuwa in Tanzania in 2 weeks.
 
Vijana unaowatafuta ni kwenye different field of experts au una specialize kwenye ujuzi mmoja wawe wanajua
 
Thanks for contacts. Ila Naweza pata namba ya whatsapp bro? Nimejaribu hio ili nikutumie yangu ila naona haiko active kwa whatsapp. Nipo nje ya nchi this minute kwa hio njia reliable ya kuwasiliana na Tz numbers ni kupitia whatsapp. Japo nitakuwa in Tanzania in 2 weeks.
+255 719 723 119
 
Back
Top Bottom