Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

Bro umepatwa na nini?
Kwanza nikujibu kutokana na maswali yako.

Umewahi kuona mgombea urais asiye na mke?
Kuoa si kigezo cha kuwa kiongozi mzuri. Je unajua Rais wa italy, Australia n.k ni mashoga!?
Huyo huyo nabii wao alishindwana na ndoa yake ya kwanza, ndio hawa wataweza kuolewa kwa maombi yake?

Jamii zetu mwanaume alipofikia umri wa kujitegemea alitafutiwa mke (unaona unavyo jifunga? "alitafutiwa mke"-kwamba ulisaidiwa kupata mtu sahihi kwenye maisha. Sasa umeona matokeo ya zoa zoa!Takwimu za talaka zinazidi kupanda, iko siku idadi ya walio funga ndoa na kutalikiana zitakuwa sawa)
Bro hivi sinza unaijua vizuri? kule ndiko maskani ya dada poa hapa mjini.

Mwanaume uliyetimia kila idara kukataa ndoa unataka kuzaa watoto wenye maadili yapi? (hivi maadili bado yapo? kama yapo hao singo maza wanatokea wapi?.Au kuoa singo maza ndio maadili?)

DINI ZINAELEZA, maagizo ya Mungu ni wanadamu wazaliane na kuongezeka, kufanikisha hilo taasisi ya ndoa iliwekwa mahsusi sasa wewe unayekataa una matatizo yapi?.
Je ndoa za sasa zinafuata misingi ya taasisis ya ndoa ? Walawi 21:15:-Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe.'Asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe.

je utaendelea kufanya ngono na kununua malaya kwenye madanguro? Hiyo ndiyo heshima?

Kwamba ukioa ndio ukomo wa kununua malaya kwenye madanguro!?
Ni mwana ndoa gani asiyechepuka zama hizi? ndio heshima?

Je unajua kuna kuoa mke (wako) na kuoa mwanamke(wetu)
 
Mkuu umejibu vizuri! Lakini nakuchallenge?
1.Pamoja na kwamba kuna changamoto zinaweza kutokea kwenye ndoa, haimaanishi ndoa hazipaswi kuwepo. Malezi bora ni ya baba mama na watoto usiwakatili wanao mkuu kuwalea bila mama!!

2.Mwanaume ambaye hataki kuoa lakini yuko tayari kulala na mke wa mwanaume mwingine, hafai hata kidogo. Hajiheshimu na ndiyo maana ninakemea hilo.

3.Mwanaume imara huacha familia imara hiyo ndiyo legacy yake. Bila mke makini na mume anayejitambua ni vigumu kujenga familia imara.

4.Acheni uoga, wahenga walisema raha ya ngoma uingie ucheze Siyo wewe kuamini kuwa hakuna maadili na kuogopa ndoa kwa sababu ya masimulizi
 
Wakuu nimekua nikifuatilia hoja za kataa ndoa na mifano yao halisi na nikiwa kama kijana ambae nimefika tayar umri wa kuoa sikua nyuma kuwaelewa kiundani kabsa.
Ila jambo linalonitatiza ni kizazi kijacho kitakuaje? watoto hawana malezi ya baba na Mama kwa ulimwengu huu? Hapana, hainingii akilini.
Nakiri uwepo wa changamoto za ndoa hasa kizazi cha sasa ila ukweli ni kwamba kama kijana huna budi kutafuta mwenza wako aliestaharabika na mnaoendana na kuheshimiana ili muoane mulee familia. Hii haina reversal ni lazima kikubwa ni kuhimiza umakini kweny machaguzi na vijana tujiheshimu basi.
KATAA NDOA ni idea ya kishetani, uoga, udhaifu na mengineyo ni idea itayodhalisha kizazi cha ovyo sana na ikiwezakana humu JF ikatazwe kabsa inaharibu vzazi vijavyo bila kujijua. Vijana tuoe ila tusikosoe kwenye kuoa. Ndoa ni kikombe kisichoepukika
 
Nakazia ✍️
 
Back
Top Bottom