Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahHawa jamaa wa KATAA NDOA hawabakii bila sex kumbe hujawaelewa wanasema HIT AND RUN
Mkuu umejibu vizuri! Lakini nakuchallenge?Bro umepatwa na nini?
Kwanza nikujibu kutokana na maswali yako.
Umewahi kuona mgombea urais asiye na mke?
Kuoa si kigezo cha kuwa kiongozi mzuri. Je unajua Rais wa italy, Australia n.k ni mashoga!?
Huyo huyo nabii wao alishindwana na ndoa yake ya kwanza, ndio hawa wataweza kuolewa kwa maombi yake?
Jamii zetu mwanaume alipofikia umri wa kujitegemea alitafutiwa mke (unaona unavyo jifunga? "alitafutiwa mke"-kwamba ulisaidiwa kupata mtu sahihi kwenye maisha. Sasa umeona matokeo ya zoa zoa!Takwimu za talaka zinazidi kupanda, iko siku idadi ya walio funga ndoa na kutalikiana zitakuwa sawa)
Bro hivi sinza unaijua vizuri? kule ndiko maskani ya dada poa hapa mjini.
Mwanaume uliyetimia kila idara kukataa ndoa unataka kuzaa watoto wenye maadili yapi? (hivi maadili bado yapo? kama yapo hao singo maza wanatokea wapi?.Au kuoa singo maza ndio maadili?)
DINI ZINAELEZA, maagizo ya Mungu ni wanadamu wazaliane na kuongezeka, kufanikisha hilo taasisi ya ndoa iliwekwa mahsusi sasa wewe unayekataa una matatizo yapi?.
Je ndoa za sasa zinafuata misingi ya taasisis ya ndoa ? Walawi 21:15:-Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe.'Asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe.
je utaendelea kufanya ngono na kununua malaya kwenye madanguro? Hiyo ndiyo heshima?
Kwamba ukioa ndio ukomo wa kununua malaya kwenye madanguro!?
Ni mwana ndoa gani asiyechepuka zama hizi? ndio heshima?
Je unajua kuna kuoa mke (wako) na kuoa mwanamke(wetu)
yamekukuta Nini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]??ngoja yakukute ndipo utaelewa
Nakazia ✍️KATAA NDOA ni idea ya kishetani, uoga, udhaifu na mengineyo ni idea itayodhalisha kizazi cha ovyo sana na ikiwezakana humu JF ikatazwe kabsa inaharibu vzazi vijavyo bila kujijua. Vijana tuoe ila tusikosoe kwenye kuoa. Ndoa ni kikombe kisichoepukika