Team Land Rover wapita Mwenge kwa Mbwembwe kuelekea Arusha kwa Makonda kwenye Land Rover Festival

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Sikatai hizi festivals kuwepo, ila zinapaswa kuratibiwa na wanazi na wapenzi wa magari, sio mkuu wa mkoa, bado tuna matatizo mengi sana ila viongozi wetu mpaka mkuu wa nchi wanawaza ma festival tu
 
Mambo vipi Wakuu!

Team Land Rover wako njiani kuelekea Chuga wakitokea Dar es Salaam, na hivi ndivyo walivyopitia Mwenge, kuelekea Arusha ambako wanataka kwenda kuandika historia Jumamosi hii kwenye tukio la Land Rover Festival 2024, tamasha la kwanza la aina yake katika viwanja vya Magereza Ground, Kisongo, jijini Arusha.
Soma, Pia: Huyu Nabii Geordavie ana utajiri kiasi gani? Ampa Paul Makonda Land Rover zaidi ya 10 huko jijini Arusha!
Na sisi waenda kwa Miguu festival yetu ni lini.
Au daladala festival ni lini ?
 
Sikatai hizi festivals kuwepo, ila zinapaswa kuratibiwa na wanazi na wapenzi wa magari, sio mkuu wa mkoa, bado tuna matatizo mengi sana ila viongozi wetu mpaka mkuu wa nchi wanawaza ma festival tu
Ili swali nili jiuliza pia mkuu wa mkoa ana tumia mda mwingi ku promote festival badala ya kufanya vitu vya msingi
 
Mkuu wa mkoa ndiyo Rais wa mkoa na amezungukwa na wataalamu wote unaowajua wwe,hadi wadudu wapo kwa office ya mkuu wa Mkoa kwa kazi maalumu!!
 
Mambo vipi Wakuu!

Team Land Rover wako njiani kuelekea Chuga wakitokea Dar es Salaam, na hivi ndivyo walivyopitia Mwenge, kuelekea Arusha ambako wanataka kwenda kuandika historia Jumamosi hii kwenye tukio la Land Rover Festival 2024, tamasha la kwanza la aina yake katika viwanja vya Magereza Ground, Kisongo, jijini Arusha.
Soma, Pia: Huyu Nabii Geordavie ana utajiri kiasi gani? Ampa Paul Makonda Land Rover zaidi ya 10 huko jijini Arusha!
Jamaa anavyopenda makiki usikute hizo Rondo katafuta yeye na kawalipa fedha ya kukaa hizo siku tano na gharama za wese juu yake maana jamaa ni BILIONEA.
 
Kwa wapenzi wa landrover hapo wanaona burudani

Ova
 
Back
Top Bottom