Team Land Rover wapita Mwenge kwa Mbwembwe kuelekea Arusha kwa Makonda kwenye Land Rover Festival

Sikatai hizi festivals kuwepo, ila zinapaswa kuratibiwa na wanazi na wapenzi wa magari, sio mkuu wa mkoa, bado tuna matatizo mengi sana ila viongozi wetu mpaka mkuu wa nchi wanawaza ma festival tu
Mkuu wa mkoa hapa anapromote utalii kiaina. Makonda ana mambo yake mengi ya ajabu ajabu lakini hili limekaa poa.
 
Unahangaika kweli na Makonda. Kwenye hio hio festival kuna fursa nyingi tu watu watapata.
Sana binafsi mzee babu yangu kafurahi sana kuiona hyo festival
Maana ni moenzi sana wa londo
😄

Ova
 
Jamaa anavyopenda makiki usikute hizo Rondo katafuta yeye na kawalipa fedha ya kukaa hizo siku tano na gharama za wese juu yake maana jamaa ni BILIONEA.
😄 kuna wale wazungu wako arusha pia wana collection za londo za kitambo sana idea yao kushirikiana na mkuu wa mkoa
Naona jambo limeitika
Mpaka wanangu wa dar wa old skull rides wameenda 😄
Wapenzi wa londo imewamsha sana kuna wazee wakiona magari ya zamani wanakumbuka mbali

Good idea ila waliotoka kwenye media im sure jamaa katoa fungu kuwawezesha ,nimeona hadi wengine wameenda na Londo zenye Plate Number Mlimani City Cars means siyo yao wamechukua kwa wauzaji for promotional use only.
 
Sikatai hizi festivals kuwepo, ila zinapaswa kuratibiwa na wanazi na wapenzi wa magari, sio mkuu wa mkoa, bado tuna matatizo mengi sana ila viongozi wetu mpaka mkuu wa nchi wanawaza ma festival tu
Acha wivu......
 
Hizo gari nyingi ninza yule mwamba anauzaga marange rover na ma land lover KC nadhani nae anakwenda kutangaza biashara
 
Mtu mmoja atuwekee hapa picha ya kiwanda kinacho tengeneza landlover huko arusha na kuuza ulaya kwa mujibu wa le kubwa jingaz
 
Sikatai hizi festivals kuwepo, ila zinapaswa kuratibiwa na wanazi na wapenzi wa magari, sio mkuu wa mkoa, bado tuna matatizo mengi sana ila viongozi wetu mpaka mkuu wa nchi wanawaza ma festival tu
We umeshawai kuwaza nini kuisaidia nchi yako?, au unataka tu viongozi wakuwazie wewe, kwani umekuwa maiti!!?

Lawama zitakuchelewesha Binamu.
 
Back
Top Bottom