mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Landrover gari banaKuna moja ilikua imelala muda mrefu safari hii tumepata mteja baada ya kuiuza imeenda kula makeup nimeiona hadi nikaitamani tena kweli muingereza hapo alitengeneza gari
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Landrover gari banaKuna moja ilikua imelala muda mrefu safari hii tumepata mteja baada ya kuiuza imeenda kula makeup nimeiona hadi nikaitamani tena kweli muingereza hapo alitengeneza gari
Mkuu wa mkoa hapa anapromote utalii kiaina. Makonda ana mambo yake mengi ya ajabu ajabu lakini hili limekaa poa.Sikatai hizi festivals kuwepo, ila zinapaswa kuratibiwa na wanazi na wapenzi wa magari, sio mkuu wa mkoa, bado tuna matatizo mengi sana ila viongozi wetu mpaka mkuu wa nchi wanawaza ma festival tu
Sana binafsi mzee babu yangu kafurahi sana kuiona hyo festivalUnahangaika kweli na Makonda. Kwenye hio hio festival kuna fursa nyingi tu watu watapata.
😄 kuna wale wazungu wako arusha pia wana collection za londo za kitambo sana idea yao kushirikiana na mkuu wa mkoaJamaa anavyopenda makiki usikute hizo Rondo katafuta yeye na kawalipa fedha ya kukaa hizo siku tano na gharama za wese juu yake maana jamaa ni BILIONEA.
😄 kuna wale wazungu wako arusha pia wana collection za londo za kitambo sana idea yao kushirikiana na mkuu wa mkoa
Naona jambo limeitika
Mpaka wanangu wa dar wa old skull rides wameenda 😄
Wapenzi wa londo imewamsha sana kuna wazee wakiona magari ya zamani wanakumbuka mbali
Ova
Acha wivu......Sikatai hizi festivals kuwepo, ila zinapaswa kuratibiwa na wanazi na wapenzi wa magari, sio mkuu wa mkoa, bado tuna matatizo mengi sana ila viongozi wetu mpaka mkuu wa nchi wanawaza ma festival tu
Hizo gari nyingi ninza yule mwamba anauzaga marange rover na ma land lover KC nadhani nae anakwenda kutangaza biasharaGood idea ila waliotoka kwenye media im sure jamaa katoa fungu kuwawezesha ,nimeona hadi wengine wameenda na Londo zenye Plate Number Mlimani City Cars means siyo yao wamechukua kwa wauzaji for promotional use only.
Hizo gari nyingi ninza yule mwamba anauzaga marange rover na ma land lover KC nadhani nae anakwenda kutangaza biashara
We umeshawai kuwaza nini kuisaidia nchi yako?, au unataka tu viongozi wakuwazie wewe, kwani umekuwa maiti!!?Sikatai hizi festivals kuwepo, ila zinapaswa kuratibiwa na wanazi na wapenzi wa magari, sio mkuu wa mkoa, bado tuna matatizo mengi sana ila viongozi wetu mpaka mkuu wa nchi wanawaza ma festival tu