MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Lissu ndo mtu pekee aliyeonja sumu na kutodhurika..ππ Mnyampaa kaonja sumu huku akiwa na risasi mwilini... ni kiumbe mbishi mno kuwahi kutokea.Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Ccm inaweza kufanya lolote ila mkono wa MUNGU utaepusha maovu yote. Na wewe chiembe ndiye mkaanga sumu bingwa.Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Mtakuwa wajinga wa kupindukia hata kama hafai mnatakiwa kuboresha ili msonge mbele! Kiongozi yupo pale kutekeleza matakwa yenu! Acheni Ujinga.Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Mleta uzi ni ccm lia lia hajawahi kuwa chademaKwa akili hizi kweli mna mpango wa kuchukua dola siku mmoja?
PumbavuNi wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Au kwa sababu haponyi majeraha?Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha
Ndugu Chiemba hizo ni habari za proper-ganda, hakuna mtu ana hati miliki ya chama chochote cha siasa. Watu wafuate katiba za vyama vyao ili mambo yaendelee. Ikiwa mfumo wa uchaguzi wa CHADEMA umemkubali TAL kuwa mwenyekiti wake basi wanachadema hamna budi mkawekeza nguvu, akili na maarifa ya kukipambania chama. Watu wenye akili kama zenu wanakuwa na chembechembe za uhaini kwa chama na kwa nchi pia.Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe
ChademaAliyepaswa kuwalipia waliozuiliwa vitu vyao hotelini ni Nani mkuu?
Be specific plzChadema
Mko wangapi!? Ndo wale 400+ mliompigia kura Sultan Mbowe? Sasa mtafua vipi dafu mbele ya mamilioni ya Watanzania wenye imani na T.A.Lissu!?Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa.
Hii Vita haijaisha mpaka iishe