GE2025 TEC: Ewe Mungu, Tuma Roho wako, afanye upya uso wa Nchi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mungu wangu wa mbinguni waangamize watu au dini zinazo ombea wenzao mabaya waangamize wafe wote wateremshie maradhi mabaya ili isiwepo viumbe wa kuwaombea wenzao mabaya
 
KRISTO YESU ANALIJENGA KANISA KATOLIKI,WALA MILANGO YA KUZIMU HAITALISHINDA.
 
Septemba 2025 (Number 9 – Kukamilika kwa mizunguko)
  • Kiongozi mmoja mkubwa anaweza kuaga dunia au kustaafu rasmi.
  • Matukio makubwa ya kitaifa (mikutano, kumbukizi, au mabadiliko ya chama).
  • Mwezi wa maombolezo na matukio ya kihistoria.
  • Mwisho wa kipindi fulani katika siasa au chama fulani — huenda chama kikuu kikaanza kuonekana kuishiwa mvuto.
Oktoba 2025 (Number 1 – Mwanzo mpya)
  • Mabadiliko mapya ya kisera au uteuzi mpya wa viongozi.
  • Mwanasiasa kijana au mpinzani hujitokeza kwa sauti kali.
  • Serikali yaweza kuzindua kampeni mpya za kisera au kiuchumi.
  • Kiongozi wa upinzani au harakati huibuka na mvuto mpya.
 
Samia na Genge lake wamepigwa PIGO Moja takatifu sana , Soon mtajionea Unjano wa Ndizi Mbivu.
Sun, 12.09.1832

Tippu Tip, Slave Trader born in Zanzibar​

Tippu Tip, or Tippu Tib (c. 1837– June 14, 1905), real name Ḥamad ibn Muḥammad ibn Jumʿah ibn Rajab ibn Muḥammad ibn Saʿīd al Murjabī
Tippu Tip traded in slaves for Zanzibar's clove plantations. As part of the large and lucrative trade, he led many trading expeditions into Central Africa, constructing profitable trading posts deep into the Congo Basin region and thus becoming the best-known slave and ivory trader in Africa, supplying much of the world with ivory from enslaved Africans

Be Prepared, Slave Traders are coming under the umbrella of Investors, and already conquered Tanganyika through DP WORLD ! Tumeisha Pigwa Mnada kama alivyoacha ameonya Hayati JOB YUSTO NDUGAI (RIP) !
 
Katoliki;kwenye Furaha Yangu ya Ndani.


Catholic;at My Domestic Bliss.
 
Mijitu imejaa zambi sana. Lkn wanaongea midomoni sanaaaa mwacheni Mungu aitwe Mungu October 28 tunajazana vituoni kutiki Rais Samia Suluhu Hassan ni mpango wa mungu mkuu
 
..tangu wameanza haya maombi nini kimetokea?

..maombi bila juhudi binafsi hayaweza kumpatia muumini mafanikio.
 
Ipo siku haki itapatikana
Unabii koko umeshindwa. Fanyeni kazi, changamkieni fursa za uchumi. Hayo mnayotaka yatokee, labda mumuombe Shetani. Lakini Mungu wetu aliye hai hawezi kuruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…