GE2025 TEC: Ewe Mungu, Tuma Roho wako, afanye upya uso wa Nchi kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uzuri ni kwamba siku hizi Mungu hachelewi kujibu, yuko fasta sana
Nakukumbusha yafuatayo:-
1. Mke wa Karume yupo
2. Wake wa Sokoine wapo
3. Wake wa mzee Ruksa wapo
4. Mke wa Abdulwakil yupo
5. Mke wa Nyerere yupo
6. Mke wa Mkapa yupo
7. Mke wa Lowasa yupo
8. Mke wa Kingunge yupo
9. Mke wa Deo Filikunjombe yupo
Kama una akili utaelewa.
 


Jisikitikie kwa ujinga na uwendawazimu. Watu wanaongelea haki wala siyo upendeleo au dhuluma dhidi ya dini fulani.

Ungekuwa na akili japo kidogo ungejiuliza, jivi Ali Kibao alikuwa dini gani? Alichofanyiwa wewe unaona ni sawa? Yule kiongozi wa CHADEMA aliyeumizwa na kisha kudhalilishwa kwa kufi-rwa, hakuwa muislam, tena wa kutoka Zanzibar? Wewe umebakia na uwendawazimu wa udini wakati huyo mama anaua yeyote anampoteza yeyote, hajali wewe ni muislam, ni mkristo au mpagani, alimradi unamkemea na kumtaka atende haki. Siku yatakapokufika kwa kupitia kwako au ndugu yako au muumini mwenzako ndipo akili itakapokujia. Huyu mama aliowateka na kuwaua wapo watu wa imani zote na hata wasio na imani.

Tunaomba hekima ya Mungu itujalie kuwa na kiongozi anayewatendea watu haki, anayethamini uhai wa wanadamu wrnzake, anayethamini rasilimali za nchi. Hatuhitaji kiongozi muuaji, mdhulumaji wa haki, wakala wa waarabu katika kudhulumu rasilimali za nchi.
 
Hao uliowataja walikuwa viongozi wa Nchi gani? na walimteka nani?
 
Mfa maji. Kwanza nyie tunawachukia kama nini. Makafiri tunajua ni wapagani. Hakuna mkristo atakayeenda mbinguni never. Njoo uislam kabla kiama hakijawadia
Wewe mwenyewe ni kiama tayari.............je utawaweza wakristo ustadh wangu??
 
We waache tu,upeo wao huishia puani,hujiona Wana akili sana,wanadhani tanzania ni kigango
 
Yaani viongozi wote toka mwinyi,kikwete,samia wote wajinga,wabovu!!?..mnadhani sisi mbumbumbu wa kuamini 1+1+1=1,nyi leteni shobo
 
..umejaa mawazo ya kidini
 
Sidhani kama hii itasaidia, nchi nyingi duniani ikiwemo Congo kuna wacha Mungu wengi sana lkn kila siku wako kwenye taabu kwasabb ya wanasiasa na siasa zao mbovu
1.Tuliacha gesi kirahisi mno
2.Ujasusi ukaaxhia Bandari kirahisi mno
3.Tumeaxhia uranium kirahisi mno
Magufuli alisema wenye nguvu wameshachukua.
 
Shida anaengeza muda huku jogoo na kuku jike wakiwa hawajalala.

Yaani alianza na Magufuli kama makamu anaanza awamu ya sita hajasema anaishia wapi na Kikwete anasema kama sio huyu mnamtaka nani. Can you imagine hendq alqfiq ikulu huyu Msimbe.
 
Mungu atusimamie Tanzania iwe na Amani na yenye upendo kama mawazo ya Mwalimu JK alivyokua anataka.
 
Mwanamtandao MUHUNI mmoja wa LUMUMBA
 
Tunaomba hekima ya Mungu it haki, anayethamini uhai wa wanadamu wrnzake, anayethamini rasilimali za nchi. Hatuhitaji kiongozi muuaji, mdhulumaji wa haki, wakala wa waarabu katika kudhulumu rasilimali za nchi.
Ahsante kwa kuthibitisha hoja yangu.....ni udini, udini, udini. Sijui sana kuhusu hayo mamikataba yao lakini nauliza tu; ni lini mlimwita wakala wa wazungu au wachina (au hakuna wazungu au wachina wanaowekeza hapa?!!!!)? Ni lini, kiongozi yeyote yule wa nchi hii aliyewahi kupitia amewahi kuitwa wakala wa wazungu il-hali wapo hapa miaka na miaka "wanawekeza" wakiwa na Kila kitu mpaka vitalu vya uwindaji?!!!

JPM ameteketeza watu hapa mpaka wengine kupigwa risasi mchana kweupeeee mbona hatukusikia maombi ya kugombea haki, amani na utulivu?!!!!!!! Imagine lissu angepigwa risasi Sasa hivi.......heeee! Watu walikuwa wanaokotwa kwenye viroba, walikuwa wamezuiliwa kuongea, wanatekwa n.k. mbona hatukuwahi kusikia yanaitishwa maombi?!!!!!!!!!!!!!

NI UDINI, UDINI, UDINIII!!!

Narudia, Waislamu nao inafaa wajiandae vizuri tu na 'liwalo na liwe'. Huu upumbavu inabidi ufike mwisho siku Moja.
 
Shida anaengeza muda huku jogoo na kuku jike wakiwa hawajalala.

Yaani alianza na Magufuli kama makamu anaanza awamu ya sita hajasema anaishia wapi na Kikwete anasema kama sio huyu mnamtaka nani. Can you imagine hendq alqfiq ikulu huyu Msimbe.
Usiwe mijinga, achana na maneno ya kisiasa ya jk; huyo ni mwanasiasa aliyeiishi siasa enzi na enzi Sasa ulitaka asemeje?!!!! Ongelea huyo mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…