Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Waambie wajinga wenzio, lengo lao hapa ni kumuombea mabaya Samia sababu hawampendi, hiki unachokisema wewe ni unafiki tu uliopitiliza.........Huenda hujaelewa madhumuni ya mafungo haya. Ni kuombea haki na amani katika nchi yetu kuelekea uchaguzi wa Oktoba 2025.
Kwani SSH hapendi haki na amani? Haya maombi ni kwa ajili ya nchi, wala si laana kwa mtu. Lakini kama kuna mtu yupo upande wa muovu shetani, ni dhahiri hatapendezwa na jambo hili
Lakini watanzania hatuna hofu sababu Mungu yupo na hii Nia ovu onayopikwa vizuuuuri na waovu itawarudia wao wenyewe!