TEC jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya huu upotoshaji unaoendelea duniani, na pia nchini mwetu kuhusu kauli ya Papa.

TEC jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya huu upotoshaji unaoendelea duniani, na pia nchini mwetu kuhusu kauli ya Papa.

Bbc ni pro anglican

Nachukia sana kufanya mjadala na watu wenye uwezo duni km wewe

Utakumbuka anglican UK iliipitia wimbi km hili

Anglican duniani zikatishia kukutenga ikabidi wawe wapole
Kwahiyo wewe una akiri kuliko BBC? Wakatoriki ushoga ruksa!
 
Mihemko na kanisa katoliki wapi na wapi, watajibu wakati mwafaka sio kwa kushinikizwa, hata hivyo askofu mkuu wa dsm ameshatoa ufafanuzi kupitia Tumaini Media, na nadhan inatosha.
 
Sasa unataka ufafanuzi gani. Na nyie watu wa Mungu mmekuwa km wanasiasa, kila jambo mwanasiasa akiongea likionekana halijapokelewa vyema wanakuja na stori za ufafanuzi.
 
Mkuu BBC ni pro anglican

Hawa na Catholic ni kama Simba na yanga hasa miaka ya nyuma acha sasahivi wazungu imani hawajaiweka mbele walikuwa jino kwa jino kupigana vijembe baada ya king henry kuiengua uingereza kutoka Roman Catholic kutokana na ugomvi wake na Papa wa wakati huo

Tokea hapo anglican na RC waligeuka paka na panya

Ikumbukwe hao RC, anglican na Lutheran ni km wanatumia litrujia moja ila uhasama ndio ulizaa anglican
 
Bbc ni pro anglican na uhasama wa Anglican na Catholic sio wa leo wala jana kwa kupigana vijembe ni kutoka kipindi baada ya medieval
Deutsch Welle( DW) ya Ujerumani nayo ni pro anglican?

Nenda kasome waraka huo wa kuwabariki wapenzi wa jinsia moja
"Fiducia supplicans" kwenye website ya vatikani wenyewe.
FB_IMG_1702979039819.jpg
Screenshot_20231218-212848.jpg
 
Mkuu BBC ni pro anglican

Hawa na Catholic ni kama Simba na yanga hasa miaka ya nyuma acha sasahivi wazungu imani hawajaiweka mbele walikuwa jino kwa jino kupigana vijembe baada ya king henry kuiengua uingereza kutoka Roman Catholic kutokana na ugomvi wake na Papa wa wakati huo

Tokea hapo anglican na RC waligeuka paka na panya

Ikumbukwe hao RC, anglican na Lutheran ni km wanatumia litrujia moja ila uhasama ndio ulizaa anglican
Kasome waraka huo kwenye website yao Vatican.
Screenshot_20231218-212848.jpg
 
Waraka nimeusoma haujasema watu hao wafungishwe ndoa km mitandaoni inavyopotosha
Dhumuni la kuwabariki wapenzi wa jinsia moja ni lipi haswa?

Wadhambi katika kanisa katoliki hupewa baraka pale ambapo hutubu makosa yao kwa kuyaungama, kuyajutia na kukiri kuachana nayo.

Je mashoga wakisha ombewa na kupewa baraka wata tengana na kuachana?

Au wata endelea kupokea baraka katika hali hiyo hiyo ya ushoga siku zote?

Wezi, wazinzi, waongo, wauaji, makahaba, wasengenyaji n.k Hukiri matendo yao kwa kuyaungama na kuyajutia na kisha kukiri kuto endelea nayo.

Mashoga waki enda kuungamishwa na kupewa baraka, Je wata tengana na kuacha mapenzi yao ya jinsia moja?
 
Mkuu utakuwa umeelewa tofauti

Wapi Pameandikwa hao watu wabarikiwe?

Kama hawa barikiwi, Hebu elezea ulicho elewa wewe hapa ..

"Blessings to same sex couples"

Kwamba unataka kusema neno "blessings" sio baraka?
 
Blessings to people who are same sex

Blessings is not marriage

Every creature of God deserve blessings no matter of their sins

Kutoa baraka hata kwa watu wanajihusisha na huo uchafu

Ndio wapo na uchafu lkn pope ameona mtu wa hivyo anaweza kuombewa yeye au kile anachomiliki ila sio kuwafungusha ndoa
Kama hawa barikiwi, Hebu elezea ulicho elewa wewe hapa ..

"Blessings to same sex couples"

Kwamba unataka kusema neno "blessings" sio baraka?
 
Bbc ni pro anglican

Nachukia sana kufanya mjadala na watu wenye uwezo duni km wewe

Utakumbuka anglican UK iliipitia wimbi km hili

Anglican duniani zikatishia kukutenga ikabidi wawe wapole
Mkuu BBC siyo wakwanza Kutuma cnn, dw, aljezeera mimi binafs niliona dw nikaenda BBC bado hawajuwa wamepost ...
nikaenda press.vatcan.ca nikaona pia
 
Blessings to people who are same sex

Blessings is not marriage

Every creature of God deserve blessings no matter of their sins

Kutoa baraka hata kwa watu wanajihusisha na huo uchafu

Ndio wapo na uchafu lkn pope ameona mtu wa hivyo anaweza kuombewa yeye au kile anachomiliki ila sio kuwafungusha ndoa
Sawa ana ombewa.

Je akisha ombewa ata endelea kujihusisha na mapenzi hayo hayo ya jinsia moja ambayo ni uchafu?

Wadhambi katika kanisa katoliki huombewa na kisha kutarajiwa waachane na matendo yao machafu.

Sasa naku uliza hivi, 👇

Hao mashoga wakisha ombewa watabarikiwa waka endelee na ushoga wao?

Kwanza huyo Mungu mna mfanya "Business as usual" unafanya uovu ukitegemea kwamba, No matter your sin is, Mungu huyo atakusamehe tu naku kubariki.

Hizo blessings zimerahisishwa na kuwa kama pipi, kwa vile you deserve blessings no mara waaah!!

Yani hapo mashoga yatafukuana mitaro, yaki amini kwamba No matter their Sins they deserve blessings.

Na wakihitaji ni kumcheki baba paroko tu anytime kisha baada ya hapo business as usual kufukuana mitaro....

Huyo Papa wenu karahisisha mambo.
 
Huu ndio muda muafaka wa kusimika mizizi na kuanzisha kaniaa Katoliki la Afrika na kujitenga na Vatican church.
 
Mafundisho ya madhehebu ya kikristu yanatofautiana japo msingi wake ni mmoja, waraka wa papa ni wa wakatoliki sio msimamo wa wakristu wote ni kwaajili ya kanisa Katoliki
Je niambie Kubariki ndoa za waliozini inaruhusiwa na kifungu kip?
 
Back
Top Bottom