TEC jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya huu upotoshaji unaoendelea duniani, na pia nchini mwetu kuhusu kauli ya Papa.

Ngoja wasikie mkataba wa bandari ndio watajitokeza! Kwasasa ni nguvu ya nguru
 
Halafu hizo habari zinaripotiwa sana na BBC SWAHILI via Facebook. Hawa jamaa ndio kila siku hivi mara vile..... Habari mbaya mbaya kila kukicha.

Mie hiyo BBC nimeshaacha kusikiliza kabisa. Toka enzi za Magu wakiwwepo Kina Salim Kikeke na Yusra Yunus
 
Je niambie Kubariki ndoa za waliozini inaruhusiwa na kifungu kip?
Kwa Mujibu wa mafundisho ya katekisim na nadhani kikristo, ndoa ni makubaliano ya mke na mume yanayoidhinishwa na Mungu mwenyewe. Sasa cha kwanza ili Mungu aidhinishe ni lazima ndoa ifate sheria ya Mungu..

Mke na mume wanapokubaliana na kukutana na kuanza kuishi wote na familia zao kuridhia kwa Mujibu wa kanisa hiyo tayari ni ndoa, ndio maana sasa watakapoenda kanisani wataenda kubaliki sio kufunga ndoa, ndoa ishafungwa.
 
Ndoa ya wazinifu inakubalika ? Hilo ndio swali ...

Nin maana ya uzinfu?
 
Ninaweka masilahi yangu mbele kuwa mimi ni Mkatoliki kwa madhehebu. Mabaraza ya Maaskofu wa Katoliki huko Nigeria na Ghana pia wamesema hawatatoa baraka zozote kwa wapenzi wa jinsia moja. Kiuhalisia waraka wa Papa Francis umezua taharuki sana, Papa John Paul II na Benedict XVI hawakuwahi kuyumba wala kutoa matakamko ya kuzua taharuki kiasi hiki

Screenshot_20231226_175634_Chrome.jpg
 
Ninaweka masilahi yangu mbele kuwa mimi ni Mkatoliki kwa madhehebu. Mabaraza ya Maaskofu wa Katoliki huko Nigeria na Ghana pia wamesema hawatatoa baraka zozote kwa wapenzi wa jinsia moja. Kiuhalisia waraka wa Papa Francis umezua taharuki sana, Papa John Paul II na Benedict XVI hawakuwahi kuyumba wala kutoa matakamko ya kuzua taharuki kiasi hiki

View attachment 2853818
MOD umekosea kuunganisha mada yangu. Please ninarudisha tena

Cc
Boqin
Active
BlackBold
 
Chonde chonde Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania (TEC)! Jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya kauli ya Papa ya kuwaruhusu Mapadre wetu kubariki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hiyo kauli yake pamoja na huo waraka wake alioutoa bila shaka mnafahamu ni kwa namna gani umeleta mtafaruku duniani kote. Na ndani ya nchi yetu mnaona ni kwa namna gani maadui wa Kanisa wanavyoitumia hiyo kauli yake kulichafua Kanisa la Mungu!

Rai yangu kwenu ni kuwaomba mjitokeze haraka na kutoa ufafanuzi wa kina. Maana mnatambua fika imani yetu, na pia mila na desturi zetu kwa ujumla wake; hazitambui vitendo vya aina hiyo.

Hivyo kama itabainika ni kweli Papa anahamasisha kuwatambua Mashoga na Wasagaji kwenye Kanisa Katoliki, ni bora tukajitenga tu na kuanzisha Kanisa letu; kama ilivyo kwa wenzetu wa KKKT.

Mwisho kabisa naamini hili ni jaribu dogo sana kwa Kanisa, ukikinganisha na majaribu mengine makubwa ambayo Kanisa lilipitia huko nyuma. Hivyo nikiwa kama muumini wa Kanisa, naamini tutalishinda.
Tumsifu Yesu Kristu.
Ni mimi Tate Mkuu, Padre niliyekimbia kiapo cha Useja. Naomba kuwasilisha.✍️🙏
Screenshot_20231225_091749_com.opera.mini.native.jpg

Papa ameisha sema wewe kenge gani umpinge???
 
Wapo kimya utafikiri hawajui. baada ya kuwaruhusu kuoa na kuolewa wao wanaruhusu Sodoma na Gomora
Ukimya wa kunyamazia maovu uko kwa Waislamu, kwenye Quran yao Kuna Aya zinazohalalisha liwati, mauaji, uporaji na uzinifu tena kwa Aya kabisa lakini hatusikii makelele, mfano Quran 33:37 eti Mungu alimruhusu Mtume Muhammad kuoa mke wa mtu Zainabu! Kwenye Quran 33:50 eti Mungu alimruhusu Mtume Muhammad kuzini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwake! Eti kwenye Quran 9:111 eti Mungu anataka Waislamu waue au wauawe ili naye awalipe Pepo! lakini kimyaaaa, husikii kelele. Hili la Papa, Papa siyo mwanzilishi wa Imani, mwanzilishi wa Imani ya Kikristo ni Yesu, na kazi ya kuendeleza kizazi baada ya uumbaji ni mume na mke, siyo mume na mume au mke na mke. Papa au mtu yeyote hatakiwi kusikilizwa akienda kinyume na mwanzilishi wa Imani Yesu Kristo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga mtupu
 
Chonde chonde Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania (TEC)! Jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya kauli ya Papa ya kuwaruhusu Mapadre wetu kubariki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hiyo kauli yake pamoja na huo waraka wake alioutoa bila shaka mnafahamu ni kwa namna gani umeleta mtafaruku duniani kote. Na ndani ya nchi yetu mnaona ni kwa namna gani maadui wa Kanisa wanavyoitumia hiyo kauli yake kulichafua Kanisa la Mungu!

Rai yangu kwenu ni kuwaomba mjitokeze haraka na kutoa ufafanuzi wa kina. Maana mnatambua fika imani yetu, na pia mila na desturi zetu kwa ujumla wake; hazitambui vitendo vya aina hiyo.

Hivyo kama itabainika ni kweli Papa anahamasisha kuwatambua Mashoga na Wasagaji kwenye Kanisa Katoliki, ni bora tukajitenga tu na kuanzisha Kanisa letu; kama ilivyo kwa wenzetu wa KKKT.

Mwisho kabisa naamini hili ni jaribu dogo sana kwa Kanisa, ukikinganisha na majaribu mengine makubwa ambayo Kanisa lilipitia huko nyuma. Hivyo nikiwa kama muumini wa Kanisa, naamini tutalishinda.
Tumsifu Yesu Kristu.
Ni mimi Tate Mkuu, Padre niliyekimbia kiapo cha Useja. Naomba kuwasilisha.✍️🙏
Hebu acheni kujiuma uma humu jamvini!!

Mtatetea Dini zenu Hadi lini!

Mungu kawafunulia ukweli kwamba mlikua mnsali kwenye madhabahu ya joka,Sasa mnabatilisha ufunuo was mungu Ili iweje !

Hamtaki kupona!

Hizi nyuzi za kauli ya papa haziishi jamvini Kila saa mnatetea eti kauli ibatilishwe Ili mpate nini!!?

Huo ndio ukweli na papa kaweka wazi kwamba mashoga wakiwa kwenye uhusiano ndoa yao itabarikiwa kama za kawaida vile!!

Kubalini ukweli!!
 
Unafikiri ni rahisi kiasi hicho eeeh!! Utasubiri sana Sheikh.
 
Huu ndio muda muafaka wa kusimika mizizi na kuanzisha kaniaa Katoliki la Afrika na kujitenga na Vatican church.
Na hili wazo ipo siku tu litatimia. Maana tunakoelekea, kunaweza kutokea mgawanyiko mkubwa kati ya Kanisa Katoliki la Vatican, na hili la Afrika.
 
Sawa ana ombewa.

Je akisha ombewa ata endelea kujihusisha na mapenzi hayo hayo ya jinsia moja ambayo ni uchafu?

Wadhambi katika kanisa katoliki huombewa na kisha kutarajiwa waachane na matendo yao machafu.

Sasa naku uliza hivi, 👇

Hao mashoga wakisha ombewa watabarikiwa waka endelee na ushoga wao?

Kwanza huyo Mungu mna mfanya "Business as usual" unafanya uovu ukitegemea kwamba, No matter your sin is, Mungu huyo atakusamehe tu naku kubariki.

Hizo blessings zimerahisishwa na kuwa kama pipi, kwa vile you deserve blessings no mara waaah!!

Yani hapo mashoga yatafukuana mitaro, yaki amini kwamba No matter their Sins they deserve blessings.

Na wakihitaji ni kumcheki baba paroko tu anytime kisha baada ya hapo business as usual kufukuana mitaro....

Huyo Papa wenu karahisisha mambo.
Na kwa kuongezea nyama tu hapo: kusema kweli hii kauli kwamba wanabarikiwa ila sio kufungishwa ndoa ni mwanzo wa kutuandaa tu ila lengo kuu hawa watu wanaenda kukubalika na kuoanishwa ndani ya makanisa. Kulikuwa hakuna ulazima wa kutoa tamko kama hili kwa jamii ambayo inasoma vitabu vya dini na kuelewa nini kibaya na nini kizuri kwa mtizamo wa kiimani.
 
Waafrika mna mbwembwe,mbona mashoga mnao wengi sana mitaani si myaue hayo mashoga sasa….Tukimaliza kuyaua hayo mashoga tuhamie kwa wazinzi pia,na tusisahau majizi
 
Ili suala ukitumia akili utaona Papa yupo sahihi kwa 100% kwa sababu kuna kitu watu wanashindwa tu kujua na kuelewa kwa nn kabariki .
Wazungu kwa kiasi kikubwa wanaishi ktk uhalisia na ukweli, unafiki upo kwa kiwango kidogo. Waafrika wengi zaidi hawaishi ktk uhalisia, ku-fake maisha na unafiki ndivyo vimechukua nafasi kubwa zaidi kwenye maisha ya Waafrika.
 
Na hili wazo ipo siku tu litatimia. Maana tunakoelekea, kunaweza kutokea mgawanyiko mkubwa kati ya Kanisa Katoliki la Vatican, na hili la Afrika.
Mkuu mie binafsi naona kwanza tunachelewa kujitenga na hayo ma vatican.
Mbona Rusia na Ulaya ya mashariki wana ukatoliki wa orthodox na mambo yanakwenda kama kawaida? Na kisa kilikuwa kugeuza vifungu vya biblia kuendana na matakwa yao.
Afrika tuamke sasa.
 
Chonde chonde Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania (TEC)! Jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya kauli ya Papa ya kuwaruhusu Mapadre wetu kubariki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hiyo kauli yake pamoja na huo waraka wake alioutoa bila shaka mnafahamu ni kwa namna gani umeleta mtafaruku duniani kote. Na ndani ya nchi yetu mnaona ni kwa namna gani maadui wa Kanisa wanavyoitumia hiyo kauli yake kulichafua Kanisa la Mungu!

Rai yangu kwenu ni kuwaomba mjitokeze haraka na kutoa ufafanuzi wa kina. Maana mnatambua fika imani yetu, na pia mila na desturi zetu kwa ujumla wake; hazitambui vitendo vya aina hiyo.

Hivyo kama itabainika ni kweli Papa anahamasisha kuwatambua Mashoga na Wasagaji kwenye Kanisa Katoliki, ni bora tukajitenga tu na kuanzisha Kanisa letu; kama ilivyo kwa wenzetu wa KKKT.

Mwisho kabisa naamini hili ni jaribu dogo sana kwa Kanisa, ukikinganisha na majaribu mengine makubwa ambayo Kanisa lilipitia huko nyuma. Hivyo nikiwa kama muumini wa Kanisa, naamini tutalishinda.
Tumsifu Yesu Kristu.
Ni mimi Tate Mkuu, Padre niliyekimbia kiapo cha Useja. Naomba kuwasilisha.✍️🙏
Hakuna haja ya kuhangaika. Wanaotaka kukimbia Kanisa Katoliki kwa sababu ya hila za maadui wa Kanisa Katoliki wakimbie ili wabaki wenye imani thabiti wasioyumbishwa. Kuna baadhi ya maaskofu na mapadri, sijui nao hawajausoma waraka wenyewe? Wanaongelea mambo tofauti kabisa! Ukisoma huo waraka unaanza vizuri kuweka msimamo wa Kanisa Katoliki katika aya mbili za mwanzo: aya ya 4 na ya 5. Aya ya 4 inasema hivi: " Pope Francis’ recent response to the second of the five questions posed by two Cardinals[4] offers an opportunity to explore this issue further, especially in its pastoral implications. It is a matter of avoiding that “something that is not marriage is being recognized as marriage.”[5] Therefore, rites and prayers that could create confusion between what constitutes marriage—which is the “exclusive, stable, and indissoluble union between a man and a woman, naturally open to the generation of children”[6]—and what contradicts it are inadmissible. This conviction is grounded in the perennial Catholic doctrine of marriage; it is only in this context that sexual relations find their natural, proper, and fully human meaning. The Church’s doctrine on this point remains firm." Aya ya 5: inasema hivi: "This is also the understanding of marriage that is offered by the Gospel. For this reason, when it comes to blessings, the Church has the right and the duty to avoid any rite that might contradict this conviction or lead to confusion. Such is also the meaning of the Responsum of the Congregation for the Doctrine of the Faith, which states that the Church does not have the power to impart blessings on unions of persons of the same sex." Sasa hao wanaosema Papa kasema "barikini ndoa za jinsia moja" si na wao wangekuwa wanaweka aya gani inayosema hivyo?
 
Waafrika mna mbwembwe,mbona mashoga mnao wengi sana mitaani si myaue hayo mashoga sasa….Tukimaliza kuyaua hayo mashoga tuhamie kwa wazinzi pia,na tusisahau majizi
Kuwaua mashoga siyo suluhisho la kuepukana nao.
Kwenye kisa cha kwenye Biblia na Msahafu kuhusu kuangamizwa kwa watu mashoga kwenye miji ya Sodoma na Gomora, inadaiwa kwamba mashoga wote kabisa waliokuwepo waliangamizwa wote kwa gharika. Swali la kujiuliza kwa sasa ni kwamba, Je, hawa mashoga ambao wapo leo hii wametoka wapi tena ikiwa Mungu aliwaangamiza mashoga wote kwa gharika iliyotokea huko Sodoma na Gomora???????
 
Back
Top Bottom