Wapiga kelele kwenye hili sakata la Papa ni Waislamu utafikiri kwao ni salama, Quran 2:223 isemayo wanawake ni konde zenu zieendeeni konde zenu kama mpendavyo tafsiri ya Kitabu Sabulus-Salam juzuu 3 inasema Mtume Muhammad alisema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma, Aya inahalalisha ulawiti, kumbuka ni Aya kabisa, lakini kimyaaaa, kama hawapo. Leo eti wao ndio wachangiaji wakubwa sakata la Papa wakitaka kuaminisha watu kuwa kwao kuzuri! Papa hatakiwi kusikilizwa akienda kinyume, wa kusikilizwa ni mwanzilishi wa Imani ya Kikristo Yesu Kristo ambayo msimamo wa ndoa ni mme/mke, siyo zaidi ya hapo.
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app