Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
- Thread starter
- #61
Nimekuuliza maswali yangu, umeshindwa kuyajibu! Na badala yake umeonesha kukiri kiaina, halafu ukahamisha magoli na kuanza tena kubwabwaja vitu visivyo eleweka.Mam*ae nyinyi ndio mashoga wengi zaidi wewe angalia kwa mabwana zenu huko Ulaya ana marekani ujio ee wanavyooana hadharani tena na papaa flansis ameisha ruhusu
JE, EWE KAFIRIIIIIIIIIII UMEISHA PATA BWANA? NA UKABARIKIWA KWENYE GENGE LA USHOGA A. K. A KANISANI???
All in all, unatakiwa kutambua suala la ushoga ni tatizo linaloikumba jamii yote kwa ujumla. Na ufahamu pia lilikuwepo tangu enzi na enzi. Kwa sasa linaonekana kama linashamiri, ni kwa sababu nchi zilizoendelea zimeamua kulipa kipaumbele na pia kuliingiza kwenye haki zao za binadamu.
Kwa hiyo siyo sahihi kuwashutumu watu wa imani fulani, na wakati tatizo linawahusu mpaka wale wasio na dini. Ni ushauri tu lakini. Kama una akili timamu, utanielewa.