uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Kwahiyo wewe una akiri kuliko BBC? Wakatoriki ushoga ruksa!
Deutsch Welle( DW) ya Ujerumani nayo ni pro anglican?Bbc ni pro anglican na uhasama wa Anglican na Catholic sio wa leo wala jana kwa kupigana vijembe ni kutoka kipindi baada ya medieval
Kasome waraka huo kwenye website yao Vatican.Mkuu BBC ni pro anglican
Hawa na Catholic ni kama Simba na yanga hasa miaka ya nyuma acha sasahivi wazungu imani hawajaiweka mbele walikuwa jino kwa jino kupigana vijembe baada ya king henry kuiengua uingereza kutoka Roman Catholic kutokana na ugomvi wake na Papa wa wakati huo
Tokea hapo anglican na RC waligeuka paka na panya
Ikumbukwe hao RC, anglican na Lutheran ni km wanatumia litrujia moja ila uhasama ndio ulizaa anglican
Deutsch Welle( DW) ya Ujerumani nayo ni pro anglican?
Nenda kasome waraka huo wa kuwabariki wapenzi wa jinsia moja
"Fiducia supplicans" kwenye website ya vatikani wenyewe.View attachment 2848137View attachment 2848139
Dhumuni la kuwabariki wapenzi wa jinsia moja ni lipi haswa?Waraka nimeusoma haujasema watu hao wafungishwe ndoa km mitandaoni inavyopotosha
Dhumuni la kuwabariki wapenzi wa jinsia moja ni lipi haswa?
Wadhambi katika kanisa katoliki hupewa baraka pale ambapo hutubu makosa yao kwa kuyaungama, kuyajutia na kukiri kuachana nayo.
Je mashoga wakisha ombewa na kupewa baraka wata tengana na kuachana?
Au wata endelea kupokea baraka katika hali hiyo hiyo ya ushoga siku zote?
Wezi, wazinzi, waongo, wauaji, makahaba, wasengenyaji n.k Hukiri matendo yao kwa kuyaungama na kuyajutia na kisha kukiri kuto endelea nayo.
Mashoga waki enda kuungamishwa na kupewa baraka, Je wata tengana na kuacha mapenzi yao ya jinsia moja?
Kama hawa barikiwi, Hebu elezea ulicho elewa wewe hapa ..Mkuu utakuwa umeelewa tofauti
Wapi Pameandikwa hao watu wabarikiwe?
Kama hawa barikiwi, Hebu elezea ulicho elewa wewe hapa ..
"Blessings to same sex couples"
Kwamba unataka kusema neno "blessings" sio baraka?
Mkuu BBC siyo wakwanza Kutuma cnn, dw, aljezeera mimi binafs niliona dw nikaenda BBC bado hawajuwa wamepost ...Bbc ni pro anglican
Nachukia sana kufanya mjadala na watu wenye uwezo duni km wewe
Utakumbuka anglican UK iliipitia wimbi km hili
Anglican duniani zikatishia kukutenga ikabidi wawe wapole
Sawa ana ombewa.Blessings to people who are same sex
Blessings is not marriage
Every creature of God deserve blessings no matter of their sins
Kutoa baraka hata kwa watu wanajihusisha na huo uchafu
Ndio wapo na uchafu lkn pope ameona mtu wa hivyo anaweza kuombewa yeye au kile anachomiliki ila sio kuwafungusha ndoa
Acha kujitoa ufahamu ndugu kisa kutetea kanisaIli suala ukitumia akili utaona Papa yupo sahihi kwa 100% kwa sababu kuna kitu watu wanashindwa tu kujua na kuelewa kwa nn kabariki .
Sitetei kanisa wala sio mkristo mimi.Acha kujitoa ufahamu ndugu kisa kutetea kanisa
Je niambie Kubariki ndoa za waliozini inaruhusiwa na kifungu kip?Mafundisho ya madhehebu ya kikristu yanatofautiana japo msingi wake ni mmoja, waraka wa papa ni wa wakatoliki sio msimamo wa wakristu wote ni kwaajili ya kanisa Katoliki