TEC jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya huu upotoshaji unaoendelea duniani, na pia nchini mwetu kuhusu kauli ya Papa.

Hao watu wana tatizo kubwa la unafiki, kutamani kuwa nguvu kubwa duniani kama ilivyo kwa Kanisa Katoliki, na pia inferiority complex.
 
Waraka unahusu makasisi, baraka na kupakuana sjaona popote papa kasema kuhusu waislamu ndo maana nasema huna akili kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…