Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Wana uwezo mkubwa kichwaniNafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile ?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea ?
Kazi yao ni kujenga makanisa waumini wajihifadhi humo ndani wasipigwe na mvua wala jua sio kujenga hospital na shule hiyo sio kazi yao ni kazi ya serikali kwa 100%.Kanisa linamhudumia mwanadamu kimwili na kiroho. Ndiyo maana wanajenga shule na hospitali.
TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?Kuwa viongozi wa dini haiwazuii kuikosoa serikali kwani na wao ni sehemu ya wananchi wakitanzania mbona hao viongozi wa dini wanaoleta uchawa kwakusifia tuu serikali mbona hua uulizi hili swali
Wanapenda siasa ili kuweka mrija hazina,Wala Bure wamezowea burebureHuelewi wabarikiwa wanavyokuwa kimbelembele kila sehemu?
Kitu cha kwanza ambacho wabarikiwa wanaondolewa ni haya, hawana haya hao wala hawajuwi vibaya.
Uwezo wao wautumie kuendesha mambo yao ya kidini hiyo ndiyo kazi yaoWana uwezo mkubwa kichwani
Soma Histotia ya Juan Peron,sijui hata kama unamjuaNafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile ?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea ?
Kama serikali haijengi wawaache waumini wao wateseke bila hizo huduma muhimu na bora??Kazi yao ni kujenga makanisa waumini wajihifadhi humo ndani wasipigwe na mvua wala jua sio kujenga hospital na shule hiyo sio kazi yao ni kazi ya serikali kwa 100%.
Unataka kusema nini kuhusu huyo jamaa wa Argentina ?Soma Histotia ya Juan Peron,sijui hata kama unamjua
naona hukuzungumzia ruzuku wanayopewa makanisa na serikali kila mwaka huwa inaenda wapiMbona huulizi wanapojenga shule, hospitali, vyuo vyaufundi na vikuu, n.k. wananchi wanakosa huduma bora kulifanya kanisa lotumie rasilimali zake kutoa huduma hizo, sababu ni mfumo mbovu wa kisiasa. Hivyo wameamua na wao(ni sehemu ya raia) kutaka mambo yakae sawa ili kupunguza mzigo kwa kanisa.
Kanisa halimiliki wananchi. Hakuna wananchi wa kanisa fulani kanisa sio serikali.Kama serikali haijengi wawaache waumini wao wateseke bila hizo huduma muhimu na bora??
Wahitimu wa madrassa utawajua tu kwa huja zao zisizo na mashikoNafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile ?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea ?
TEC ni Watanzania!Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi ?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile ?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea ?
Hakuna haya ambayo inazidi ile ya kuwaua au kujilipua kwenye makundi ya watu, kwa jina la Allah. Hiyo ni kufuru kubwa mbele za Mungu wa amani.Huelewi wabarikiwa wanavyokuwa kimbelembele kila sehemu?
Kitu cha kwanza ambacho wabarikiwa wanaondolewa ni haya, hawana haya hao wala hawajuwi vibaya.
Papa ni Mkuu wa Nchi ya Vatican na Mkuu wa Dini ya Katoliki
King Charles III ni Mfalme wa Uingereza na Mkuu wa Kanisa la Anglikana
Mbona huulizi wanapojenga shule, hospitali, vyuo vyaufundi na vikuu, n.k. wananchi wanakosa huduma bora kulifanya kanisa lotumie rasilimali zake kutoa huduma hizo, sababu ni mfumo mbovu wa kisiasa. Hivyo wameamua na wao(ni sehemu ya raia) kutaka mambo yakae sawa ili kupunguza mzigo kwa kanisa.
Kwani wewe ni Faisa.Mwongo wewe
Kanisa la Roma ndio vinara wa kuchochea mauaji.
Research mauaji ya Kimbari Rwanda ambako mafuvu ya vichwa vya watu yalikutwa makanisani.
Na mapadri wa kanisa lenu la Roma walihusika mpk kushtakiwa
Kwani huwa inaenda wapi?naona hukuzungumzia ruzuku wanayopewa makanisa na serikali kila mwaka huwa inaenda wapi
So, TEC ni chama cha kisiasa kisicho rasmi au chombo cha kidini ?Wajibu wa viongozi wa Dini ni pamoja na kukemea mambo ya ovyo bila kujali anayekemewa ni nani. Lakini kuhusu TEC, usiwaguse kabisa. Wana akili, maarifa na uwezo hata mara 50 zaidi ya Serikali. Hapa Duniani ukiwa na akili, maarifa na uwezo wa kifedha ni lazima watu watakuogopa na kukuheshimu tu.
Ndivyo walivyo TEC, nani atawagusa?
Akili zako ndio zimeishia hapo ?Wahitimu wa madrassa utawajua tu kwa huja zao zisizo na mashiko
Linapokuja suala la maslahi ya mwanadamu lazima watumishi wa Mungu waingilie kati na kutolea ufafanuzi juu ya Jambo husika ikiwa Linahitaji msisitizo. Maana wanatimiza Ile kauli ya Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa, sasa wao lazima wao au wengine lazima waelimishe na kuwatoa Watu katika ujinga na upumbavu kama ulionao wewe ili Watu wasiangamie ...Wewe mwenye akili kazi ya madhehebu ni kutangaza habari za kimungu au kujishughulisha na harakati za kisiasa ?