Pre GE2025 TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kanisa katoliki la roma ni dola kamili,inayofanya kazi kwa mgongo wa dini,ukilielewa hili huwezi uliza maswali ya kipumbafu.
 
Swali lako halina mashiko ni la kichawa na uzandiki mtupu!
Unaamka usingiIni ba kukurupuka kufungua uzi.

Elewa ni Mada hii inahusu wadau wote na haina itikadi yeyote !!
 
Wajinga mpo wengi sana Mkiiba kura wakati kuapishwa mnawaita Viongozi wa Dini mkinunua ndege mnawaita waziombee
Kwenye majanga mnawaita waziombee
Ila mkutunga Sheria za hovyo na uonevu mnataka wakae kimya
KUMBUKA viongozi wa Dini ni Sehemu ya Raia kura wanapiga kama raia wengine Katiba mbovu ikitungwa hata wao itawahusu
Hivyo wana haki jatika SIASA za nchi yao
ACHA KUANDIKA ujinga

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Rasimali zake au serikali inatoa hayo mapesa uliza kama hujui!
 
Hizo huduma ni bure? Pale wanafanya biashara Manka
 
TEC ni chombo kinacho wakilisha mamillion ya watanzania katika mambo mbalimbali ikiwemo,ya kiimani ,kiusalama,haki za binadamu nk.kuhusu TEC kujishughulisha na maswala ya kisiasa hiyo ni haki yao yakikatiba .tukumbuke TEC ni chombo kinachoundwa na watu na Wala sio mashine.wajumbe wote wa TEC ni raia watanzania .hivyo hakuna Sheria inayomkataza mtanzania kushiriki mijadala ,kushauri kukemea au kupongeza kwenye masuala yote ya kisiasa ndio maana utakuta Leo askofu gwajima ni mbunge wa ccm.TEC wako sahihi sana maana ni sauti ya wasiosikika.
 
Hata hivyo wamechelewa sana mpaka baadhi ya watu wanaamini wao pia ni sehemu yao !!
Tangu watu waanze kudai Katiba mpya sijawasikia nao wakiunga mkono !
Hii ya jana imenishangaza kidogo !!
Na nimeipokea kwa tahadhari kubwa na pia imetolewa sio kwa msisitizo mkubwa kama ilivyokuwa kwa mengine yaliyotolewa matamko hapo awali !
Ni mwanzo mzuri !! 🙏🙏
Ngoja tuone !!
 
Toa ushauri kuwa madhehebu yote yahubiri kuhusu ahera na wafu. Waache kuhudumia watu wazima kimwili au Kiroho Yaani waumini wao wawe wafu tu. Vile vile wasitoe huduma yoyote ya maendeleo kwa vile waumini wao ni mizimu haihitaji shule wala tiba nk.
 
Huelewi wabarikiwa wanavyokuwa kimbelembele kila sehemu?

Kitu cha kwanza ambacho wabarikiwa wanaondolewa ni haya, hawana haya hao wala hawajuwi vibaya.
Aisee na wewe kigagula huu ndio mchango wako.? Siyo wewe utakuwa clone yako am sure!!
 
Rasimali zake au serikali inatoa hayo mapesa uliza kama hujui!
Huruma hospital kule Rombo imejengwa na serikali gani? wakati inatimiwa kama ndio hospitali ya wilaya? KCMC Bugando ni serikali gani imejenga.

Kama hujui bora kukaa kimya serikali inachangia mishahara % fulani tu na baadhi ya madawa mengine hospital inapaswa kujiendesha. Kama hujui nyamaza.

Kama ilikua rahisi mbona hadi leo serikali haijajenga hospitali zake bado wanategea za kanisa?
 
Inategemea Tafsiri yako kuhusu neno "dini" mkuu, katoliki ni dude kubwa sana
 
Mambo ya siasa ni yepi na ya dini ni yepi?

Kujenga shule na mahospitali ni mambo ya Dini au ya Kisiasa?

Je, kufungua mabenki ni ya kisiasa au ni ya Kidini?

Watu wa Dini na wa kisiasa unaweza kuwbainisha?
 
Huelewi wabarikiwa wanavyokuwa kimbelembele kila sehemu?

Kitu cha kwanza ambacho wabarikiwa wanaondolewa ni haya, hawana haya hao wala hawajuwi vibaya.
Vip kijana huko Lebanon nasikia kuna kichwa kimeliwa jana
 
Rasimali zake au serikali inatoa hayo mapesa uliza kama hujui!
UKiwa na upungufu wa akili , huwa kuna jina lake siyalisema kwa sasa. Lakini tambua shule, vyuo, hospitali (ambapo pia wanakutibu tatizo la akili) kuna gharama kubwa za ujenzi, uendeshaji na mainance.

Hizo shule za bure mnazosema hampeleki huko watoto kwa sababu ya ubovu wa miundombinu na rasilimali watu. Hivyo tambua kanisa linakusaidia sana. Muulize mkeo alijifungulia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…