Hilo la kumuweka padri kwenye mfumo wa elimu silijui, lakini huko kwenye Baraza la mawaziri si kulikuwepo na waisilamu, si wangemuhoji huyo padre huo mfumo anaotaka kuupandikiza?
Padre chiwanga alikua waziri wa elimu,hivi unajua hali ilivyokua serikalini 1970-1990s kwa waislam!?.. walikua mateka maofisini, wengine wakaficha majina yao ya kiarabu kama bwana Muhammad bob nyanga makani, Muhammad aliificha, waislam sana walikua madereva na matarishi