Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Muda unatosha sana....ama la sogeza mbele uchaguzi....bila katiba mtajiibia wenyeweMa Dikteta wa CCM, habari ndio hii Kwa Sasa.
Acheni Janja ianja za muda hautoshi !!.
HAKI HAKI HAKI .
Ndio maana mpambano ni mkali sanaShida ni watawala waliopo wanaona mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi ni njia ya wao kufa kisiasa na kupoteza mirija yao ya kuingiza na kuchota pesa
Hakika, kama wanajifanya kusema hautoshi, sogeza mbele ratiba, tufanye Mabadiliko .Muda unatosha sana....ama la sogeza mbele uchaguzi....bila katiba mtajiibia wenyewe
TEC wanasema HAKI, haki itafaidisha CCM na UPINZANI .Yesu alipofufuka alihubiri siasa!?..TEC wameichoka CCM au mtawala muislam!?..
Hujui kitu kaa kimya.Yesu alipofufuka alihubiri siasa!?..TEC wameichoka CCM au mtawala muislam!?..
Yote haya ni matokeo ya UMINYWAJI HAKI.Shida ni watawala waliopo wanaona mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi ni njia ya wao kufa kisiasa na kupoteza mirija yao ya kuingiza na kuchota pesa
Juzi tu 1990s-2000s walihubiri kutochanganya dini na siasa,kisa CUF ilikua juu,leo mnakoroga dini na siasa,unafiki wa viwango vya juuTEC wanasema HAKI, haki itafaidisha CCM na UPINZANI .
Siasa ni Afya , Elimu, Uchumi, Jamii , huwezi tenganisha Siasa na Dini .
Hata kanuni za wizi zimewekewa kinga, yote ni woga wa kushindwaShida ni watawala waliopo wanaona mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi ni njia ya wao kufa kisiasa na kupoteza mirija yao ya kuingiza na kuchota pesa
Wameongea,watakula pilau,pia, kitimoto,mambo yatabaki kama yalivyo,samia akitishia kuondoa ruzuku kwa kanisa hapo November,watamfuata kumbembelezaHujui kitu kaa kimya.
Mazoea ya kuiba uchaguzi mtasema kila neno.
Hakuna Cha kukoroga, Maandiko matakatifu yanahitaji kukemea Dhuluma, uonevu .Juzi tu 1990s-2000s walihubiri kutochanganya dini na siasa,kisa CUF ilikua juu,leo mnakoroga dini na siasa,unafiki wa viwango vya juu
Hamna Serikali yoyote Duniani inayoweza tikisa Hilo Kanisa la Katoliki.Wameongea,watakula pilau,pia, kitimoto,mambo yatabaki kama yalivyo,samia akitishia kuondoa ruzuku kwa kanisa hapo November,watamfuata kumbembeleza
Yaani kanisa katoliki likalilie ruzuku?Wameongea,watakula pilau,pia, kitimoto,mambo yatabaki kama yalivyo,samia akitishia kuondoa ruzuku kwa kanisa hapo November,watamfuata kumbembeleza
Mchangiaji hajui hilo,anali-underate.Hamna Serikali yoyote Duniani inayoweza tikisa Hilo Kanisa la Katoliki.
Ndio Taasisi pekee Duniani yenye utajirikubwa kushinda Nchi yoyote Ile, wanaongozwa Kwa kua na Shehena kubwa ya DHAHABU
HAMNA .
Kwani walivyopingana na Magufuli, nae alikuwa muislamu?Yesu alipofufuka alihubiri siasa!?..TEC wameichoka CCM au mtawala muislam!?..
Kanisa fukara hilo, hutegemea hazina ya nchi na kunyonya masikini,1992 kupitia mawakala wake serikalini likaingia mkataba na serikali kupata ruzuku kwa hospital zake,2009 bajeti ya wizara ya afya 51% ikienda hospital za kanisa,linaingiza bidhaa bure bandarini, jakaya alipotishia kufuta hivyo vitu zikaanza kampeni za kubeza utawala wakeYaani kanisa katoliki likalilie ruzuku?
Hulijui vizuri.
Hata samweli sitta alikejeli waraka wa kichungaji,huo waraka aliokejeli magu ulihusu nini!?..toka 2024 mpaka leo,pana nyaraka tatu za TECKwani walivyopingana na Magufuli, nae alikuwa muislamu?
View attachment 3310059