Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Chaguzi zifutwe hata xile zilizo fanyika ...kama chadema wana qkili waanzie kwenye kufutwa kwa chaguzi za serikali za mitaa ule haukua uchaguzi bari uhuniBaraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa.
Aidha amesisitiza utawala wa demokrasia unapaswa kuwajali wapiga kura.
Acheni Janja ianja za muda hautoshi !!.
Tazama video hii
View attachment 3310068
HAKI HAKI HAKI .