LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Kuingiza uislamu hapo ni kupotosha tu, wanaompotosha rais hawana dini
Shida mtawala muislam
Mtu wao akumaliza miaka 10
Shida mtawala muislam
Mtu wao akumaliza miaka 10
Muda unatosha tena sana. Wanajikausha tuBaraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa.
Aidha amesisitiza utawala wa demokrasia unapaswa kuwajali wapiga kura.
Acheni Janja ianja za muda hautoshi !!.
Tazama video hii
View attachment 3310068
HAKI HAKI HAKI .
Huwezi kuwasikia wakitaja neno Haki.Haahaa ccm wanapenda neno amani kuliko haki, Sijui kwa nn
Mtasema yote machawa.......watanzania hawafanganyiki tenaShida mtawala muislam
Mtu wao akumaliza miaka 10
Oya toka usingizini, katoriki sio BAKWATAWameongea,watakula pilau,pia, kitimoto,mambo yatabaki kama yalivyo,samia akitishia kuondoa ruzuku kwa kanisa hapo November,watamfuata kumbembeleza
HahahahOya toka usingizini, katoriki sio BAKWATA
DP WORLD wapo bandarini wanaendelea na kazi, waraka wa TEC uko wapi?Oya toka usingizini, katoriki sio BAKWATA
Hehehe.......Akina Sabaya walikuwa na jeuri kama yako. Chunga mdomo nduguDP WORLD wapo bandarini wanaendelea na kazi, waraka wa TEC uko wapi?
Yesu alipofufuka alihubiri siasa!?..TEC wameichoka CCM au mtawala muislam!?..
😀😀😀Ndugu yangu muuombe Mungu akukomboe, usiishi tena kwenye utawala wa shetani.
Tambua kuwa haki, upendo na amani, ndiyo ujumbe mkuu wa Kristo. Utawala wa shetani usiozingatia haki, utawala wa kubambikia kesi, ndio msingi wa mashtaka dhidi ya Kristo.
Kapakwe mafuta kule,waambie tec wajisajili kama chama siasa Ili wapambanie tume huruNdugu yangu muuombe Mungu akukomboe, usiishi tena kwenye utawala wa shetani.
Tambua kuwa haki, upendo na amani, ndiyo ujumbe mkuu wa Kristo. Utawala wa shetani usiozingatia haki, utawala wa kubambikia kesi, ndio msingi wa mashtaka dhidi ya Kristo.
CUF imekusaidia nn Bwashee.Juzi tu 1990s-2000s walihubiri kutochanganya dini na siasa,kisa CUF ilikua juu,leo mnakoroga dini na siasa,unafiki wa viwango vya juu
Kanisa fukara hilo, hutegemea hazina ya nchi na kunyonya masikini,1992 kupitia mawakala wake serikalini likaingia mkataba na serikali kupata ruzuku kwa hospital zake,2009 bajeti ya wizara ya afya 51% ikienda hospital za kanisa,linaingiza bidhaa bure bandarini, jakaya alipotishia kufuta hivyo vitu zikaanza kampeni za kubeza utawala wake
Padre sivalon kwenye kitabu chale kanisa katoliki na siasa tanzania kaweka wazi, bila serikali kutia mkono,miradi ya kanisa ingekufa,so acha kuji-mwambafy, hakuna kitu hilo kanisa,bora walokole na wasabato wanasonga kwa nguvu zao
Chadema imekusaidia niniCUF imekusaidia nn Bwashee.
Muda unatosha wa kufanya marekebisho ili Tufanye uchaguzi wa haki na muachiene TL bila mashart huyo ni rais ajayeBaraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa.
Aidha amesisitiza utawala wa demokrasia unapaswa kuwajali wapiga kura.
Acheni Janja ianja za muda hautoshi !!.
Tazama video hii
View attachment 3310068
HAKI HAKI HAKI .
Unamjua dk Padre sivalon,unakijua kitabu chake!?..hapo hakuna serikali kuomba,ni kama yanga na singida unitedUsifurahie uwendawazimu.
Kanisa halikuwahi kuiomba Serikali izitumie hospitali zake kama hospitali za Serikali. Ni Serikali ndiyo iliyoliomba Kanisa kutumia hospitali za Kanisa kama hospitali za Serikali baada ya Serikali kukosa hospitali nyingi za viwango stahili.
Kapakwe mafuta kule,waambie tec wajisajili kama chama siasa Ili wapambanie tume huru
Udini kwenu mbona uko wazi,mwinyi alisakamwa,jakaya na sasa samia,ila 2010 tuliwaonesha kazi
Kanisa lilihusika na mauaji Rwanda,mauaji mengi kwenye historia yake,damu nyingi mikononi mwa kanisa,kanisa lilichongea kwa jeshi la polisi waislam wakauawa kama swala mwembechai kisa 'yesu anatukanwa'Usiufurahie ujinga. Jielimishe. Kanisa siku zote litabakia kuhubiri haki, amani na upendo kama msingi mkuu wa imani.
Huo ndio ujumbe wa Kanisa nyakati zote, tangu kale. Hata upige kelele kiasi gani, kamwe Kanisa haliwezi kuondoka kwenye misingi mikuu hii ya imani.
Kanisa halipo kwaajili ya kukufurahisha wewe wala Serikali, bali kuutangaza ujumbe wa Mungu.
Shida mtawala muislam
Mtu wao akumaliza miaka 10