Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Umeamia huku baada ya propaganda zako mfu za udini kushidwa kwenye uzi mwingine?Kanisa fukara hilo, hutegemea hazina ya nchi na kunyonya masikini,1992 kupitia mawakala wake serikalini likaingia mkataba na serikali kupata ruzuku kwa hospital zake,2009 bajeti ya wizara ya afya 51% ikienda hospital za kanisa,linaingiza bidhaa bure bandarini, jakaya alipotishia kufuta hivyo vitu zikaanza kampeni za kubeza utawala wake
Padre sivalon kwenye kitabu chale kanisa katoliki na siasa tanzania kaweka wazi, bila serikali kutia mkono,miradi ya kanisa ingekufa,so acha kuji-mwambafy, hakuna kitu hilo kanisa,bora walokole na wasabato wanasonga kwa nguvu zao
Waraka unahusu matumizi ya kondomu au?Kwani walivyopingana na Magufuli, nae alikuwa muislamu?
View attachment 3310059
Udini kwenu mbona uko wazi,mwinyi alisakamwa,jakaya na sasa samia,ila 2010 tuliwaonesha kaziUmeamia huku baada ya propaganda zako mfu za udini kushidwa kwenye uzi mwingine?
Bakuata wanasema muda hautoshi.Baraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa.
Aidha amesisitiza utawala wa demokrasia unapaswa kuwajali wapiga kura.
Acheni Janja ianja za muda hautoshi !!.
Tazama video hii Dakika ya 2:56
View attachment 3310008
HAKI HAKI HAKI .
Huyu nae aliyeonywa na nyaraka mbalimbali alikuwq muislam?Udini kwenu mbona uko wazi,mwinyi alisakamwa,jakaya na sasa samia,ila 2010 tuliwaonesha kazi
Asante Kwa kuweka kumbukumbu sawa,Kwani walivyopingana na Magufuli, nae alikuwa muislamu?
View attachment 3310059
Mbona serikali ya ccm inalinyoosha hapa nchiniHamna Serikali yoyote Duniani inayoweza tikisa Hilo Kanisa la Katoliki.
Ndio Taasisi pekee Duniani yenye utajirikubwa kushinda Nchi yoyote Ile, wanaongozwa Kwa kua na Shehena kubwa ya DHAHABU
HAMNA .
Naunga mkono hoja,muda upo wa kutosha。Baraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa.
Aidha amesisitiza utawala wa demokrasia unapaswa kuwajali wapiga kura.
Acheni Janja ianja za muda hautoshi !!.
Tazama video hii Dakika ya 2:56
View attachment 3310008
HAKI HAKI HAKI .
Wewe ndio unasema. Umesikia habari za uislam hapo?Yesu alipofufuka alihubiri siasa!?..TEC wameichoka CCM au mtawala muislam!?..
Machafuko yote duniani husababishwa na wana siasa, tena wa vyama tawala, wana siasa pia ni waumini wa dini, sio wapagani na ndio maana nao wana apa kwa kutumia vitabu vya DINI. Moja kati ya kazi za wachungaji (sijui kuhusu ma sheikh ) ni kutoa tahadhari waonapo hatari inakuja, wasipo fanya hivo watahukumiwa na mwajiri wao. Nitakupa mifano michache ya manabii walio kemea watawala/wana siasa, wengine waliuawa na wana siasa kwasababu ya kukemewa maovu yao.Yesu alipofufuka alihubiri siasa!?..TEC wameichoka CCM au mtawala muislam!?..
Naunga mkono hoja,muda upo wa kutosha。
ila hawa TEC nao,nilidhani kwa vile TAL ni muumini wao,jukumu lao sio tuu kutoa amri kwa serikali aachiliwe, pia walipaswa kumshauri aache kutishia amani kwa kutishia kukinukisha,aje mezani tuyajenge!。
P
Sawaaje mezani tuyajenge!。
Waache janja janja eti muda hautoshi. Muda unatosha. Muda tulio nao ndio muda sahihiBaraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa.
Aidha amesisitiza utawala wa demokrasia unapaswa kuwajali wapiga kura.
Acheni Janja ianja za muda hautoshi !!.
Tazama video hii
View attachment 3310068
HAKI HAKI HAKI .
Wewe ni mwehu na nusu kama sio mazima. Yesu akihukumiwa na wazee wa sheria ili hali hakuna sheria aliyo ivunja upo..? Yesu alikemea mabaya yote mfano alimwambia yule kuhani kuwa aache unyang'anyi nk uwe unasoma biblia nimeandika kwa ufupi tuYesu alipofufuka alihubiri siasa!?..TEC wameichoka CCM au mtawala muislam!?..
We jamaa acha ubishi, nyaraka za TEC zinasomwaga kila parokia, nenda parokia yako utakuta nyaraka zote za nyuma za TEC. Kama sio mkatoliki tembelea parokia yeyote ya jirani, kaombe nyaraka za TEC za nyuma utapewa.Waraka unahusu matumizi ya kondomu au?
Wale viziwi hawatasikiaBaraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa.
Aidha amesisitiza utawala wa demokrasia unapaswa kuwajali wapiga kura.
Acheni Janja ianja za muda hautoshi !!.
Tazama video hii
View attachment 3310068
HAKI HAKI HAKI .
Unabishana na maamuma huyo ,hajui kitu zaidi ya kupambania ugali maharagweWewe ni mwehu na nusu kama sio mazima. Yesu akihukumiwa na wazee wa sheria ili hali hakuna sheria aliyo ivunja upo..? Yesu alikemea mabaya yote mfano alimwambia yule kuhani kuwa aache unyang'anyi nk uwe unasoma biblia nimeandika kwa ufupi tu
KWeli akaoshe makalio akaongee na majiniUnabishana na maamuma huyo ,hajui kitu zaidi ya kupambania ugali maharagwe
Wanafiki sana hao TEC!Juzi tu 1990s-2000s walihubiri kutochanganya dini na siasa,kisa CUF ilikua juu,leo mnakoroga dini na siasa,unafiki wa viwango vya juu