PreGE2025 TEC yasema Muda unatosha Kufanya Mabadiliko kwenye changamoto zilizojitokeza kwenye chaguzi !!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
TEC ndio viongozi wa dini wanafiki.
Kwa nini walikemea kuchanganya dini na siasa wakati huo? Waliona watapoteza nini?
 
Hamna Serikali yoyote Duniani inayoweza tikisa Hilo Kanisa la Katoliki.

Ndio Taasisi pekee Duniani yenye utajirikubwa kushinda Nchi yoyote Ile, wanaongozwa Kwa kua na Shehena kubwa ya DHAHABU

HAMNA .
Kama wao ni matajiri kwa nini wanaiba ruzuku za kuendeshea hospitali zao?
Kama kanisa hilo ni tajiri kwa nini watumishi wa hospitali zao wanalipwa mishahara na serikali?
Kama kanisa ni tajiri, kwa nini wanatoza ada kubwa kwenye shule zao kiasi Masikini hawezi kumudu gharama zao?
Kanisa la Roma utajiri wake dunia nzima unategemea serikali. Ikitokea serikali wakabinya kidogo tu ruzuku watamchafua na kupiga kampeni atoke.
Tunajua kitendo cha Samia kuwapa bandari waarabu kimewaumiza sana that's why kanisa linajitokeza waziwazi kumpinga.
Hata kumrudisha Padri Slaa Mzinzi ili kuongeza nguvu ya kumpinga Samia
 
Yesu alipofufuka alihubiri siasa!?..TEC wameichoka CCM au mtawala muislam!?..
masheikh wa bakwata sku ya iddie walikuwa wanasoma nyaraka za bikra 72 pepon na mito ya gongo na wanzuki tu hawakuongelea siasa? Hv hayo aliyoyasema huyo askofu yana ubaya gn yana uhusiano gn na udini? Hv kuwaambia watawala watende haki ili amani idumu ni udini? Kwann mnaingza udini kwny mambo ambayo pengne hayanufaishi mlengo wenu wa ksiasa, hv ccm ndo wangekuwa chadema seriously wangekubali kushriki uchaguz wkt watu wa tume wote ni wateule wa tundu lissu ambaye ni mwenyekt wa chadema? Hv wewe una akili timamu kweli ww
 
ukiwa tajiri hupaswi tafuta pesa tena au siyo? Hao ma dr wanaolipwa na serikali si wanatumiwa na serikali kwny hospital za kanisa ulitaka nani awalipe npo huku kagera kuna hospital ya teule ya kanisa bt serikali imeomba iwe ya umma hapo unasemaje..
 
Mwambie huyo mjinga mbona kutwa kucha wanaomba misamaha ya kodi

Wananyonya masikini ma hakua kuuliza mapato wala matumizi

Kanisa la Ndio mzee 😂😂
 
ukiwa tajiri hupaswi tafuta pesa tena au siyo? Hao ma dr wanaolipwa na serikali si wanatumiwa na serikali kwny hospital za kanisa ulitaka nani awalipe npo huku kagera kuna hospital ya teule ya kanisa bt serikali imeomba iwe ya umma hapo unasemaje..
Ukiwa tajiri endelea kutafuta utajiri lkn sio kuombaomba kwa Serikali ikupe ruzuku.
Serikali inaweza kuwalipa madaktari wakafanye kazi serikalini ambako kuna upungufu wa watumishi. Kwa walipwe kwenda kufanya kazi kanisani!? Si walipwe na kanisa lenyewe?
 
TEC ndio viongozi wa dini wanafiki.
Kwa nini walikemea kuchanganya dini na siasa wakati huo? Waliona watapoteza nini?
Propaganda zenu hizi ishieni kuambiana huko huko Lumumba. Watanzania tunajua TEC wanasimamia kweli ba haki na wanafanya hayo vipindi vyote
 
Maccm yanajiona yenyewe yana akili sana. This time wamekamatika. Hila zao zote zitashindwa.
 
Hiyo amani kwa watanzania iko wapi?

Kilichopo ni utulivu ambao nao uko mashakani.
 
Tena unatosha Sana, zile changamoto tukiamua ndani ya wiki tu zinaisha.Watawala hawataki tu.Kwa hili kanisa katoliki Wako sawa Sana...
 
Haahaa ccm wanapenda neno amani kuliko haki, Sijui kwa nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…