PreGE2025 TEC yasema Muda unatosha Kufanya Mabadiliko kwenye changamoto zilizojitokeza kwenye chaguzi !!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Muda unatosha tena sana. Wanajikausha tu
 
Yesu alipofufuka alihubiri siasa!?..TEC wameichoka CCM au mtawala muislam!?..

Ndugu yangu mwombe Mungu akukomboe, usiishi tena kwenye utawala wa shetani.

Tambua kuwa haki, upendo na amani, ndiyo ujumbe mkuu wa Kristo. Utawala wa shetani usiozingatia haki, utawala wa kubambikia kesi, ndio msingi wa mashtaka dhidi ya Kristo.
 
Ndugu yangu muuombe Mungu akukomboe, usiishi tena kwenye utawala wa shetani.

Tambua kuwa haki, upendo na amani, ndiyo ujumbe mkuu wa Kristo. Utawala wa shetani usiozingatia haki, utawala wa kubambikia kesi, ndio msingi wa mashtaka dhidi ya Kristo.
😀😀😀
 
Kapakwe mafuta kule,waambie tec wajisajili kama chama siasa Ili wapambanie tume huru
 
Usifurahie uwendawazimu.

Kanisa halikuwahi kuiomba Serikali izitumie hospitali zake kama hospitali za Serikali. Ni Serikali ndiyo iliyoliomba Kanisa kutumia hospitali za Kanisa kama hospitali za Serikali baada ya Serikali kukosa hospitali nyingi za viwango stahili.
 
Muda unatosha wa kufanya marekebisho ili Tufanye uchaguzi wa haki na muachiene TL bila mashart huyo ni rais ajaye
 
Unamjua dk Padre sivalon,unakijua kitabu chake!?..hapo hakuna serikali kuomba,ni kama yanga na singida united
 
Kapakwe mafuta kule,waambie tec wajisajili kama chama siasa Ili wapambanie tume huru

Usiufurahie ujinga. Jielimishe. Kanisa siku zote litabakia kuhubiri haki, amani na upendo kama msingi mkuu wa imani.

Huo ndio ujumbe wa Kanisa nyakati zote, tangu kale. Hata upige kelele kiasi gani, kamwe Kanisa haliwezi kuondoka kwenye misingi mikuu hii ya imani.

Kanisa halipo kwaajili ya kukufurahisha wewe wala Serikali, bali kuutangaza ujumbe wa Mungu.
 
Kanisa lilihusika na mauaji Rwanda,mauaji mengi kwenye historia yake,damu nyingi mikononi mwa kanisa,kanisa lilichongea kwa jeshi la polisi waislam wakauawa kama swala mwembechai kisa 'yesu anatukanwa'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…