PreGE2025 TEC yasema Muda unatosha Kufanya Mabadiliko kwenye changamoto zilizojitokeza kwenye chaguzi !!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chaguzi zifutwe hata xile zilizo fanyika ...kama chadema wana qkili waanzie kwenye kufutwa kwa chaguzi za serikali za mitaa ule haukua uchaguzi bari uhuni
 
Hakika, kama wanajifanya kusema hautoshi, sogeza mbele ratiba, tufanye Mabadiliko .


Wakuu haya Mabadiliko yatafanya Vijana tuingie Bungeni kirahisi sana.

HAKI HAKI HAKI
MUNGU MWENYEZI awabariki sana vijana wote mnaojitambua
 
Ni kweli unatosha
 
Mbona Katibu wa Bakwata aizungumzia sana suala la HAKI kabla ya Mufti naye alisistiza akili na busara itumike
 
Wameongea,watakula pilau,pia, kitimoto,mambo yatabaki kama yalivyo,samia akitishia kuondoa ruzuku kwa kanisa hapo November,watamfuata kumbembeleza
Kanisa Katoliki ni Tasisi tajiri sana .Wapo tayari kulipa kodi muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…