Pre GE2025 TEC yashauri Viongozi wa Serikali wasiwe wasimamizi wa Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hilo wataishia kutoa matamko ya Askofu mmoja mmoja individual
Kwenye muhimu za kanisa ambazo wao wanasubiriwa kama kutoa statement kuhusu Hilo tamko la Papa wameshindwa kuwa wamoja kutoa tamko wanakuwa wamoja petty issues za kisiasa kama hizo za tume ya uchaguzi shame to them

Sina shida kama wangetoa statements Kwa issue Zote mbili
Kuna shida huko TEC huhitaji kuwa mtaalamu wa Rocket Science kuwa Kuna shida TEC yaani TEC yote iitishe mkutano kukiwa na Crisis kubwa kanisani ya Tamko la Papa halafu wanaishia kutoa Tamko la Tume ya uchaguzi sadaka za waumini wamezila Bure kusafiririshwa nk hawajawatendea Haki waumini na sadaka zao zilizogharimia huo mkutano wa TEC

Hawako vizuri
 
Tamko Kwa waumini kuhusu alichosoma Papa kuhusu kubariki wapenzi wa jinsia moja Hilo Baraza la Maaskofu TEC watatoa lini ?

Waumini wanasubiri nimekuja mbio nilikijua wametoa Hilo tamko
Japo no nje ya mada, kama muumini wa Kanisa Katoliki mfuatiliaji, ngoja nikujibu kwa ufupi:

TEC haitatoa tamko kwa sababu Holy Sea ilikwishafafanua alichosema Papa. Na wapotoshaji, BBC wamekiri kiwa waliitafsiri ndivyo sivyo kauli ya Papa.

Msisitizo wa Holy Sea ni ule ule kuwa kanisani ni nyumbani pa wakosefu wanaokuja kumlilia Mungu kwaajili ya msamaha, na kuchota neema zake Mungu ziwasaidie kuishinda dhambi.

Msisitizo zaidi ni kwamba ndoa ni sakramenti inayotolewa pale mume na mke wanapokubaliana kuishi pamoja. Hivyo, pamoja na mashoga kutotengwa na Kanisa, lakini kamwe hawawezi kupata sakramenti ya ndoa, na wala Kanisa haliwezi kuyabariki mahusiano yao.
 
Kwenye muhimu za kanisa ambazo wao wanasubiriwa kama kutoa statement kuhusu Hilo tamko la Papa wameshindwa kuwa wamoja kutoa tamko wanakuwa wamoja petty issues za kisiasa kama hizo za tume ya uchaguzi shame to them

Sina shida kama wangetoa statements Kwa issue Zote mbili
Kuna shida huko TEC huhitaji kuwa mtaalamu wa Rocket Science kuwa Kuna shida TEC yaani TEC yote iitishe mkutano kukiwa na Crisis kubwa kanisani ya Tamko la Papa halafu wanaishia kutoa Tamko la Tume ya uchaguzi sadaka za waumini wamezila Bure kusafiririshwa nk hawajawatendea Haki waumini na sadaka zao zilizogharimia huo mkutano wa TEC

Hawako vizuri
Papa mwenyewe mwaka huu katoa taarifa sahihi kuwa,"Mungu hajawahi bariki dhambi,hivyo sisi kama Kanisa hatuna mamlaka ya kubariki dhambi,na ndoa ni baina ya Mwanaume na Mwanamke."
 
Hawatatoa tamko kwa sababu Holy Sea ilikwishafafanua alichpsema Papa. Na wapotoshaji, BBC wamekiri kiwa waliitafsiri ndivyo sivyo kauli ya Papa.

Msisitizo wa Holy Sea ni ule ule kuwa kanisani ni nyumbani pa wakosefu wanaokuja kumlilia Mungu kwaajili ya msamaha, na kuchota neema zake Mungu ziwasaidie kuishinda dhambi.

Msisitizo zaidi ni kwamba ndoa ni sakramenti inayotolewa pale mume na mke wanapokubaliana kuishi pamoja. Hivyo, pamoja na mashoga kutotengwa na Kanisa, lakini kamwe hawawezi kupata sakramenti ya ndoa, na wala Kanisa haliwezi kuyabariki mahusiano yao.
Acha upotoshaju mabaraza ya Maaskofu yaliyotoa tamko hayakutoa tamko Kwa ku quote Wala kutaja BBC popote

Hakuna Baraza la Maaskofu la nchi yeyote walitoa tamko kutegemea ripoti za BBC acha uzushi na upotoshaji wewe

Maaskofu awe Askofu binafsi au Baraza hakuna anategemea BBC kufanya maamuzi au kutoa statement kuhusu tamko la Papa

Hakuna Askofu au Baraza la Maaskofu katoliki la nchi yoyote duniani wanaoweza tegemea BBC kutoa tamko
Wacha udhalilishaji wewe kudhalilisha Maaskofu na mabaraza yao
 
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri,unajua Mashetani wanajitutumua kuhalalisha uongo na kuliona Kanisa Katoliki kama Kanisa la Kakobe au Mwamposa.
 
Tamko Kwa waumini kuhusu alichosoma Papa kuhusu kubariki wapenzi wa jinsia moja Hilo Baraza la Maaskofu TEC watatoa lini ?

Waumini wanasubiri nimekuja mbio nilikijua wametoa Hilo tamko
Hao waumini wamekutuma uwasemee ?
 
Acha upotoshaju mabaraza ya Maaskofu yaliyotoa tamko hayakutoa tamko Kwa ku quote Wala kutaja BBC popote

Hakuna Baraza la Maaskofu la nchi yeyote walitoa tamko kutegemea ripoti za BBC acha uzushi na upotoshaji wewe

Maaskofu awe Askofu binafsi au Baraza hakuna anategemea BBC kufanya maamuzi au kutoa statement kuhusu tamko la Papa

Hakuna Askofu au Baraza la Maaskofu katoliki la nchi yoyote duniani wanaoweza tegemea BBC kutoa tamko
Wacha udhalilishaji wewe kudhalilisha Maaskofu na mabaraza yao
Fuatilia current issues za Mwaka huu 2024 kule Vatican uje na hoja yako ya kweli.
 
Papa mwenyewe mwaka huu katoa taarifa sahihi kuwa,"Mungu hajawahi bariki dhambi,hivyo sisi kama Kanisa hatuna mamlaka ya kubariki dhambi,na ndoa ni baina ya Mwanaume na Mwanamke."

BBC inaelekea, kuna mashoga ndani yake au wafadhili wake ni mashoga. Wanafanya kila jitihada kumtega Papa kwa maswali kama walivyofanya Wayahudi kwa Yesu.

Kwa sababu papa huyu ameongelea sana habari ya msamaha, huruma ya Mungu, na mwanadamu kutomhukumu mwanadamu mwenzake, nao wanaingilia hapo hapo kupenyeza ajenda yao ya ushoga ionekane taasisi kubwa kabisa Duniani, Roman Catholic nao wamekubali ndoa za jinsia moja.

Hovyo ndivyo Wayahudi walivyofanya kwa Yesu. Kwanza walimtega kwa swali la kwanza la nduguyo akikosea umsamehe mara ngapi?.Umsamehe mara 7? Yesu akawaambia, hata 7 mara 70. Kwa jibu hilo, wakafurahia, wakijua tayari wamempata.

Siku iliyofuata wakamleta mwanamke waliyemfumania, huku wakiweka utangulizi wa sheria ya Musa kuwa wazinzi, kwa sheria ya Musa walitakiwa kupigwa mawe hadi wafe, halafu wakamwuliza Yesu anasemaje. Huku wakijua wamempata. Akisema wamsamehe mzinzi yule, wamkamate kwa kosa la kupingana na sheria ya Musa. Akisema wampige mawe, wamkamate kwa kuwadanganya watu, maana ni punde tu alisema unatakiwa kumsamehe aliyekukosea hata 7 mara 70. Yesu akawapa jibu tofauti na matarajio yao, kila mmoja akaondoka kwa staili yake.

Nao BBC, wakati wakieneza uwongo, Papa amewaambia wazi kuwa kamwe Mungu hawezi kubariki dhambi. Ushoga ni dhambi.
 
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri kumbe wapotoshaji walikuwepo tangu za Yesu ili kumtega Mwana wa Mungu.Na leo wamehamia kwa Papa kumtega ili wapate nafasi ya kutangaza kazi ya shetani.
 
Acha upotoshaju mabaraza ya Maaskofu yaliyotoa tamko hayakutoa tamko Kwa ku quote Wala kutaja BBC popote

Hakuna Baraza la Maaskofu la nchi yeyote walitoa tamko kutegemea ripoti za BBC acha uzushi na upotoshaji wewe

Maaskofu awe Askofu binafsi au Baraza hakuna anategemea BBC kufanya maamuzi au kutoa statement kuhusu tamko la Papa

Hakuna Askofu au Baraza la Maaskofu katoliki la nchi yoyote duniani wanaoweza tegemea BBC kutoa tamko
Wacha udhalilishaji wewe kudhalilisha Maaskofu na mabaraza yao
Unakataa bila ya kueleza walitoa kauli kufuatia taarifa ya nani!!

Wengi inaonekana hamfuatilii wala kujishughulisha kuelewa hata hayo matamko ya maaskofu yametolewa kujibu kitu gani.

Leta tamko la Baraza la Maaskofu angalao hata moja lililosema kuwa wao kama Baraza, baada ya kupewa maelekezo na Papa ya kufungisha ndoa za jinsia moja, wanagoma hawatafanya hivyo.

Ufahamu KUWA:

Kuna nchi baada ya taarifa za BBC na vyombo vingine vya habari vinavyoitegemea BBC kama chanzo chao cha habari, kutangaza kuwa Kanisa Katoliki limeruhusu mahusiano ya jinsia moja na hivyo mashoga wanaweza kubarikiwa na mapadre kanisani, waumini walitaharuki. Ndipo mabaraza ya maaskofu wa nchi hizo wakalazimika kutoa matamko yanayoeleza kuwa hakutakuwa na ndoa za jinsia moja wala mapadre hawatayabariki mahusiano ya mashoga. Na Papa akaja kusisitiza kuwa ushoga ni dhambi, na Mungu hawezi kubariki dhambi. Lakini Kanisa halitawatenga mashoga kwa maana Kanisa halina mamlaka ya kumhukumu mwanadamu. Kazi ya Kanisa ni kuwaeleza wanadamu kile kilicho sahihi kwa kadiri ya mpango wa Mungu.
 
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri,unajua Mashetani wanajitutumua kuhalalisha uongo na kuliona Kanisa Katoliki kama Kanisa la Kakobe au Mwamposa.

Yawezekana baadhi ya wanaoishikilia sana jambo hili ni mashoga. Wanalazimisha ionekane Kanisa limekubaliana na hayo mambo yao. Na kama dhamira yao ni hiyo, watasubiri sana.
 
Nafikiri ukweli ndiyo huo.
 
Huyo Padri afungue tu chama cha siasa asijifiche kwenye kivuli cha dini.

Huna hoja, na yaelekea moyo wako umejaa uovu.

Baraza la Maaskofu TEC linachosisitiza ni uchaguzi kusimamiwa na watu wasio wanachama wa chama chochote ili kuwepo na haki. Na huo ni utaratibu wa kawaida, ndiyo maana timu ya Tanzania ikicheza na Kenya, refa hawezi kutoka Tanzania wala Kenya. Kwenye dhamira hiyo kuna ubaya gani? Bila shaka moyoni mwako umejaa dhuluma na uovu ndiyo maana kauli yoyote inayotuongoza kwenye haki, kwako ni tatizo.
 
ni ushauri mzuri sana japo hauishurutishi tume kuupokea na kuutekeleza kama ulivyo.....
Kwa maoni yangu bado watumishi wa umma ni Watanzania na wanastahili kusimamia uchaguzi kama ambavyo Watanzania wengineo wana haki hiyo pia.🐒
Imedhihirika pasi na shaka watumishi wa umma hawana maadili ya kusimamia uchaguzi. Wao imekuwa kiungo muhimu wa chaguzi zote za kishenzi ndani ya nchi hii.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu wa TEC Padri Kitima, leo 8/01/2024 Ametoa maoni ya Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki ndani ya Bunge la Tanzania, kama Mchango wa Kanisa hilo kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi.

TEC imesema kwamba Viongozi wa Serikali hawapaswi na iwe mwiko kwao kusimamia uchaguzi wowote , Kazi hiyo inapaswa kufanywa na Tume ya Uchaguzi tu.

Taarifa kamili hii hapa

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeshauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutowatumia viongozi wa Serikali katika kusimamia uchaguzi na badala yake wahusike wenyewe katika uchaguzi mkuu na wa serikali za mitaa.

Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa TEC, Padre Charles Kitima baada ya kutoa maoni yake kwa Bunge kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi leo Jumatatu, Januari 8, 2024, Bungeni jijini Dodoma.
Jamaa anapenda politiki sana
 
Back
Top Bottom