Pre GE2025 TEC yashauri Viongozi wa Serikali wasiwe wasimamizi wa Uchaguzi

Pre GE2025 TEC yashauri Viongozi wa Serikali wasiwe wasimamizi wa Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hili nakubaliana na TEC pia viongozi wa tume wasichaguliwe(kuteuliwa) na viongozi wa serikali
 
Tamko Kwa waumini kuhusu alichosoma Papa kuhusu kubariki wapenzi wa jinsia moja Hilo Baraza la Maaskofu TEC watatoa lini ?

Waumini wanasubiri nimekuja mbio nilikijua wametoa Hilo tamko
Ulislma wapi kubariki jinsia moja.
Nenda na wakati na Mkuu wao alishatoa tamko la kukataza hilo jambo.
Usiwe KUWADI.
 
Huna hoja, na yaelekea moyo wako umejaa uovu.

Baraza la Maaskofu TEC linachosisitiza ni uchaguzi kusimamiwa na watu wasio wanachama wa chama chochote ili kuwepo na haki. Na huo ni utaratibu wa kawaida, ndiyo maana timu ya Tanzania ikicheza na Kenya, refa hawezi kutoka Tanzania wala Kenya. Kwenye dhamira hiyo kuna ubaya gani? Bila shaka moyoni mwako umejaa dhuluma na uovu ndiyo maana kauli yoyote inayotuongoza kwenye haki, kwako ni tatizo.
Umeweka mifano rahisi kiasi hata ng'ombe anaweza kuelewa , Asante sana
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu wa TEC Padri Kitima, leo 8/01/2024 Ametoa maoni ya Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki ndani ya Bunge la Tanzania, kama Mchango wa Kanisa hilo kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi.

TEC imesema kwamba Viongozi wa Serikali hawapaswi na iwe mwiko kwao kusimamia uchaguzi wowote , Kazi hiyo inapaswa kufanywa na Tume ya Uchaguzi tu.

Taarifa kamili hii hapa

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeshauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutowatumia viongozi wa Serikali katika kusimamia uchaguzi na badala yake wahusike wenyewe katika uchaguzi mkuu na wa serikali za mitaa.

Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa TEC, Padre Charles Kitima baada ya kutoa maoni yake kwa Bunge kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi leo Jumatatu, Januari 8, 2024, Bungeni jijini Dodoma.
Wana maoni gani kuhusu kubariki mashoga?
 
Na Tanzania hii ilikombolewa na hao hao mapadre hata bara la Afrika mapadre wamesaidia nchi nyingi kupata uhuru na kuleta umoja na mshikamano kwenye hizo nchi.
Kaa kimya hakuna unachojua. Wangekuwa watu wema DRC kungekuwa na utulivu. Kanisa lina kashfa ya kushiriki vita ya Biafra. Uhuru na mshikamano gani unaousema wewe?
 
Uchaguzi wa 2019/2020 umetoa fundisho hasi kwa wananchi kuhusu watumishi wa umma kusimamia uchaguzi,maoni haya siyo ya kupuuza. watumishi wa umma wana majukumu yao ya kimsingi ya kisheria. utawala bora unapaswa uzingaie kila mmoja afanye majukumu yake ya kimsingi(core functions)anazoweza kuwajibika nayo na vivyo hivyo kwa Tume huru ya uchaguzi ijitegemee kwa kutumia wafanyakazi wake,mbona Tume nyingine zimeweza kufanya hivyo kwa mtandao wake hadi wilayani km Tume ya haki za binadamu na utawala bora,Tume ya utumishi wa walimu,Tume ya utumishi wa umma nk. TWENDE NA MISINGI YA UTAWALA BORA.Tusiwachanganye wananchi. Sheria iwatoe kabisa wakurugenzi kwenye vifungu vya mswada huu,hii habari ya kutumia neno 'May' yaani kwamba tume inaweza teua huyu na yule ni mtego wa kitoto na danganya toto. Tutarudi huko huko. Kibamba asindaganye watu kutetea hilo kwenye BARAZA.
 
TEC waandike waraka umfikie Boss pale Vatikanii kuwa ndoa za jinsia moja ni chukizo mbele za Mungu.

Charity begins at HOME.
 
Kaa kimya hakuna unachojua. Wangekuwa watu wema DRC kungekuwa na utulivu. Kanisa lina kashfa ya kushiriki vita ya Biafra. Uhuru na mshikamano gani unaousema wewe?
Unajua nini wewe?Hata wimbo wa Taifa tunaouimba kila siku wewe huwa haukufundishi kitu?Sekondari kama zote kubwa kubwa za Tanzania zilijengwa na hao hao mapadre unawaopuuza baada ya Mama Samiah kuwa Rais.Na usitake twende mbali sana wewe mhafidhina wa kujilipua mabomu ili uende mbinguni.Mmejaa ujinga na mmejazwa ujinga na upumbavu kwa vitu ambavyo viko wazi kabisa.Unanilazimisha nikae kimya kisa unajinasibu kama Mama Samiah pumbavu,unafikiri mimi ni mtoto mdogo?DRC wanapigana kwa sababu ya kuendekeza ukabila,kwao kuna makabila ambayo ni mahsusi na ambayo siyo mahsusi.
Nikupe mafano tu Rais Magufuri alipofanikiwa tu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alianza kuingiza ukabila taratibu taratibu kwa kuwa ana chembe chembe za kutoka huko.Hata nchi za Burundi,Rwanda,Uganda,na Mkoa wa Kagera Tanzania ni sehemu ambazo hutanguliza maslahi ya kabila kuliko umoja wa nchi.Kwa hiyo kulisingizia Kanisa Katoliki ni kukosa maarifa kama vile maandiko yanavyosema,"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu wa TEC Padri Kitima, leo 8/01/2024 Ametoa maoni ya Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki ndani ya Bunge la Tanzania, kama Mchango wa Kanisa hilo kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi.

TEC imesema kwamba Viongozi wa Serikali hawapaswi na iwe mwiko kwao kusimamia uchaguzi wowote , Kazi hiyo inapaswa kufanywa na Tume ya Uchaguzi tu.

Taarifa kamili hii hapa

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeshauri Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutowatumia viongozi wa Serikali katika kusimamia uchaguzi na badala yake wahusike wenyewe katika uchaguzi mkuu na wa serikali za mitaa.

Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa TEC, Padre Charles Kitima baada ya kutoa maoni yake kwa Bunge kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi leo Jumatatu, Januari 8, 2024, Bungeni jijini Dodoma.
Mbona Hawajamshauri Papa aachana na swala la kubariki ndoa za mashoga
 
Kwenye muhimu za kanisa ambazo wao wanasubiriwa kama kutoa statement kuhusu Hilo tamko la Papa wameshindwa kuwa wamoja kutoa tamko wanakuwa wamoja petty issues za kisiasa kama hizo za tume ya uchaguzi shame to them

Sina shida kama wangetoa statements Kwa issue Zote mbili
Kuna shida huko TEC huhitaji kuwa mtaalamu wa Rocket Science kuwa Kuna shida TEC yaani TEC yote iitishe mkutano kukiwa na Crisis kubwa kanisani ya Tamko la Papa halafu wanaishia kutoa Tamko la Tume ya uchaguzi sadaka za waumini wamezila Bure kusafiririshwa nk hawajawatendea Haki waumini na sadaka zao zilizogharimia huo mkutano wa TEC

Hawako vizuri
Uko nje maada,Maada inahusu Tume ya uchaguzi,kama vipi anzisha maada mpya kuhusu Papa,Kwa kifupi sana wewe ni mpumbavu sana
 
Back
Top Bottom