Pre GE2025 TEC yashauri Viongozi wa Serikali wasiwe wasimamizi wa Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hili nakubaliana na TEC pia viongozi wa tume wasichaguliwe(kuteuliwa) na viongozi wa serikali
 
Tamko Kwa waumini kuhusu alichosoma Papa kuhusu kubariki wapenzi wa jinsia moja Hilo Baraza la Maaskofu TEC watatoa lini ?

Waumini wanasubiri nimekuja mbio nilikijua wametoa Hilo tamko
Ulislma wapi kubariki jinsia moja.
Nenda na wakati na Mkuu wao alishatoa tamko la kukataza hilo jambo.
Usiwe KUWADI.
 
Hilo jambo Chama Cha Mazuzu hawataki kulisikia maana ni sawa na mtu kukata mkono asile.
 
Umeweka mifano rahisi kiasi hata ng'ombe anaweza kuelewa , Asante sana
 
Wana maoni gani kuhusu kubariki mashoga?
 
Na Tanzania hii ilikombolewa na hao hao mapadre hata bara la Afrika mapadre wamesaidia nchi nyingi kupata uhuru na kuleta umoja na mshikamano kwenye hizo nchi.
Kaa kimya hakuna unachojua. Wangekuwa watu wema DRC kungekuwa na utulivu. Kanisa lina kashfa ya kushiriki vita ya Biafra. Uhuru na mshikamano gani unaousema wewe?
 
Uchaguzi wa 2019/2020 umetoa fundisho hasi kwa wananchi kuhusu watumishi wa umma kusimamia uchaguzi,maoni haya siyo ya kupuuza. watumishi wa umma wana majukumu yao ya kimsingi ya kisheria. utawala bora unapaswa uzingaie kila mmoja afanye majukumu yake ya kimsingi(core functions)anazoweza kuwajibika nayo na vivyo hivyo kwa Tume huru ya uchaguzi ijitegemee kwa kutumia wafanyakazi wake,mbona Tume nyingine zimeweza kufanya hivyo kwa mtandao wake hadi wilayani km Tume ya haki za binadamu na utawala bora,Tume ya utumishi wa walimu,Tume ya utumishi wa umma nk. TWENDE NA MISINGI YA UTAWALA BORA.Tusiwachanganye wananchi. Sheria iwatoe kabisa wakurugenzi kwenye vifungu vya mswada huu,hii habari ya kutumia neno 'May' yaani kwamba tume inaweza teua huyu na yule ni mtego wa kitoto na danganya toto. Tutarudi huko huko. Kibamba asindaganye watu kutetea hilo kwenye BARAZA.
 
TEC waandike waraka umfikie Boss pale Vatikanii kuwa ndoa za jinsia moja ni chukizo mbele za Mungu.

Charity begins at HOME.
 
Kaa kimya hakuna unachojua. Wangekuwa watu wema DRC kungekuwa na utulivu. Kanisa lina kashfa ya kushiriki vita ya Biafra. Uhuru na mshikamano gani unaousema wewe?
Unajua nini wewe?Hata wimbo wa Taifa tunaouimba kila siku wewe huwa haukufundishi kitu?Sekondari kama zote kubwa kubwa za Tanzania zilijengwa na hao hao mapadre unawaopuuza baada ya Mama Samiah kuwa Rais.Na usitake twende mbali sana wewe mhafidhina wa kujilipua mabomu ili uende mbinguni.Mmejaa ujinga na mmejazwa ujinga na upumbavu kwa vitu ambavyo viko wazi kabisa.Unanilazimisha nikae kimya kisa unajinasibu kama Mama Samiah pumbavu,unafikiri mimi ni mtoto mdogo?DRC wanapigana kwa sababu ya kuendekeza ukabila,kwao kuna makabila ambayo ni mahsusi na ambayo siyo mahsusi.
Nikupe mafano tu Rais Magufuri alipofanikiwa tu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alianza kuingiza ukabila taratibu taratibu kwa kuwa ana chembe chembe za kutoka huko.Hata nchi za Burundi,Rwanda,Uganda,na Mkoa wa Kagera Tanzania ni sehemu ambazo hutanguliza maslahi ya kabila kuliko umoja wa nchi.Kwa hiyo kulisingizia Kanisa Katoliki ni kukosa maarifa kama vile maandiko yanavyosema,"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Mbona Hawajamshauri Papa aachana na swala la kubariki ndoa za mashoga
 
Uko nje maada,Maada inahusu Tume ya uchaguzi,kama vipi anzisha maada mpya kuhusu Papa,Kwa kifupi sana wewe ni mpumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…