Pre GE2025 TEC yashauri Viongozi wa Serikali wasiwe wasimamizi wa Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona Hawajamshauri Papa aachana na swala la kubariki ndoa za mashoga
Mwaka huu 2024 January Papa amesema wazi kuwa,"Mungu hajawahi bariki dhambi,hivyo basi Kanisa Katoliki halina mamlaka ya kubariki dhambi kwa sababu lilisimikwa na Mungu mwenyewe ambaye ndiye mwasisi wa ndoa.Na ndoa ni muunganiko watu wawili Mwanaume na Mwanamke na si vinginevyo"
 
Na tume yenyewe eti inachaguliwa na Rais ambaye naye ni mgombea, HIKI ni kichekesho.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na tume yenyewe eti inachaguliwa na Rais ambaye naye ni mgombea, HIKI ni kichekesho.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watu wengine wameanza kuleta matusi na kujaribu kuibadilisha mada hii,
Mimi nadhani tatizo linalojadiliwa hapa ni kutokewepo usawa na haki katika chaguzi zetu zinazopelekea upande mmoja kujiona wao ndio wanastahili kupata haki zote mpaka Za kuchagua marefarii wa kusimamia na kuuchezesha mchezo husika !!
Hapo ndipo linapokuja dai la mleta mada kwamba mbona hatuheshimiani kwenye chaguzi zetu ??!
 
Ndiyo maana yake, huwezi kuwa refa wa timu yako.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma comment yako sijaona hoja yoyote hapa zaidi ya kunililia utadhani mimi ni baba yako. Nikuulize unajua nini kuhusu Biafra war?
 
Umekumbwa na nini? Hujawasikia wanalalamika wapo tayari kuyabariki mawe na si ndoa za jinsia moja? Ikiwa ndivyo waandike waraka uende kwa Boss kuonesha kuchukizwa na hilo.
Mimi naamini tamko la Vatican ambalo limetolewa na Papa mwenyewe kuwa,"Mungu hajawahi bariki dhambi hivyo sisi kama Kanisa Katoliki hatuna mamalaka ya kubariki dhambi maana ndoa ni taasisi iliyojengwa na Mungu mwenyewe baina ya Mwanamume na Mwanamke."
 
Imedhihirika pasi na shaka watumishi wa umma hawana maadili ya kusimamia uchaguzi. Wao imekuwa kiungo muhimu wa chaguzi zote za kishenzi ndani ya nchi hii.
I can confirm to you without fear of contradictions mawazo na mtazamo wa tec pamoja na yako ni mazuri ila si muhimu.....

Uchaguzi utasimamiwa na waTanzania kupitia tume huru ya uchaguzi bila mbambamba za yeyeote
 
Zamani walisema hivi "JEURI YA CHAMA IYEBAAAA "
 
Zamani walisema hivi "JEURI YA CHAMA IYEBAAAA "
sasa hivi tunakwendra uchaguzi ukizira kaa kando, ukijifanya mjuaji na kujipa umuhimu zaidi like Moise katumbi, Martin Fayulu, Denis Mukwebe and others mtaomba poo matokeo yakitoka 🐒
 
Tuwekee link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…