A Peculiar people
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 612
- 773
Asee umenifundisha jambo.. AsanteUnapotazama video au animation assume unarusha ngumi, mkono unapoanza kumove mpaka unampiga mtu, ni muunganiko wa mamia kama zio maelfu ya picha mpaka yanatengeneza kitendo. Hiyo picha moja moja ndo frame
Find a good scriptwriter and collaborate.Not yet! Time table imebana Sana.. with other jobs.. Sad
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Thanks.Find a good scriptwriter and collaborate.
Jana nilikuwa ninasoma kuhusu franchise ya the matrix, nilistaajabu kwamba filamu ya the matrix revolution ilihusisha wataalaamu wa hesabu, aerodynamics, fluid dynamics, physics, computer engineers, programmers, graphic and animators zaidi ya 200 kuifanikisha. Walienda mbali zaidi mpaka kutengeneza kuunda special program kwa ajili ya kazi ya special effects.
Kuna scene moja ambapo Neo anafukuzwa na moto, ina sekunde sita ila ilichukua miezi 6 kuikamilisha kuufanya ule moto uwe perfect.
Baada ya utengenezaji, waliandika paper kwa ajili ya watu wengine kutumia katika kutengeneza effects, maana walikuwa wamekuja na mbinu mpya za kutengeneza effects mbalimbali, kuchukua picha ikiwemo bullet, time slice, nakadhalika ambapo iliset standard for future science fiction action movies.
Ile filam Anorld mwenyewe alitaka kukataa kuigiza maana aliposoma script alikuwa anaona ama ni kituko itaharibu career yake. Mfano movie ya Pirates of the carrebean dead men tell no tales, yule binti aliyeigiza mle aiigiza ila alikuwa anaona aibu kuwa itakuwaa movie ya kifala kiasi kwamba hakuwambia hata marafiki zake. Script ilikuwa inamfanya awaze ni movie ya kijinga. Ila Producer na director walikuwa wana picture ya kitu kitakachotokeaukipata muda pia fuatilia THE TERMINATOR ya Arnord ,wataalamu wengi sana walihusika kutengeneza zile effects,ndio filamu ilileta mapinduzi kwenye industry nzima
Ile filam Anorld mwenyewe alitaka kukataa kuigiza maana aliposoma script alikuwa anaona ama ni kituko itaharibu career yake. Mfano movie ya Pirates of the carrebean dead men tell no tales, yule binti aliyeigiza mle aiigiza ila alikuwa anaona aibu kuwa itakuwaa movie ya kifala kiasi kwamba hakuwambia hata marafiki zake. Script ilikuwa inamfanya awaze ni movie ya kijinga. Ila Producer na director walikuwa wana picture ya kitu kitakachotokea
Just imagine kipindi hicho na tech ilivyokuwa bado computer powerful na software hamna lakini walitengeneza kitu kama kile na kikavunja rekodi.kabisa,yani wanasema kwa wakati ule yale mawazo watu wengi hawakuwa nayo,ilionekana ni kitu kisichowezekana kabisa.ile scene terminator anapita katikati ya chuma ilitumika tech kubwa mno
You meant to be Lizzy 😍Find a good scriptwriter and collaborate.
I'm one of them ....
You are great! Lovely..I'm one of them ....
View attachment 1549782
Alafu your story sounds kinda interesting sema ndo hivyo I have a lot of unfinished projects. Kama uko interested I can ask a friend of mine to add you kwenye group la scriptwriters in Tzee utangaze mle kuwa unatafuta mtu wakushirikiana nae....I'm pre6sure you can find someone who can do your story justice.
Sent you the #....text her.You are great! Lovely..
Please do. I would love to put these Ideas to good use
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wazo zuri sana, tatizo la Afrika ni kutokuwa tayari kulipia content au kazi za sanaa za mhusika. Unawazo la kuja kiutofauti katika pembe hiyo?
People won't pay for what they don't know.. kujenga film industry kunahitaji kujitoa na kupambana kweli... Kujenga utamaduni wa Watanzania kitazama filamu zao Kwanza..Kisha ndio pesa ije.yes ni kwamba payment inakuwa in term of bundle ..
dah embu jaribuni na me kunia add tunaweza share kitu wazeeI'm one of them ....
View attachment 1549782
Alafu your story sounds kinda interesting sema ndo hivyo I have a lot of unfinished projects. Kama uko interested I can ask a friend of mine to add you kwenye group la scriptwriters in Tzee utangaze mle kuwa unatafuta mtu wakushirikiana nae....I'm pre6sure you can find someone who can do your story justice.
hahaaha me pia Niko na idea kama yako mzee kufanya horror movie haiitaj budget nying sana haswa kama bongo ikitegemea na location zipo za kutosha lakin watu bado wanafel hembu wanipe meme nafac niwaandikie crpt kar sana coz nipo na idea nying sana za movie kichwan kwanguKibongo bongo inabidi wadau tuje na idea ya horror movies moja matata sana, nafikiri kibudget inawezekana kwa huku kwetu, na ikitokea chance naomba niwe chinja chinja humo kwnye scenes kama charlie farm