Technology nyuma ya film making

Technology nyuma ya film making

Unapotazama video au animation assume unarusha ngumi, mkono unapoanza kumove mpaka unampiga mtu, ni muunganiko wa mamia kama zio maelfu ya picha mpaka yanatengeneza kitendo. Hiyo picha moja moja ndo frame
Asee umenifundisha jambo.. Asante
 
Jana nilikuwa ninasoma kuhusu franchise ya the matrix, nilistaajabu kwamba filamu ya the matrix revolution ilihusisha wataalaamu wa hesabu, aerodynamics, fluid dynamics, physics, computer engineers, programmers, graphic and animators zaidi ya 200 kuifanikisha. Walienda mbali zaidi mpaka kutengeneza kuunda special program kwa ajili ya kazi ya special effects.

Kuna scene moja ambapo Neo anafukuzwa na moto, ina sekunde sita ila ilichukua miezi 6 kuikamilisha kuufanya ule moto uwe perfect.

Baada ya utengenezaji, waliandika paper kwa ajili ya watu wengine kutumia katika kutengeneza effects, maana walikuwa wamekuja na mbinu mpya za kutengeneza effects mbalimbali, kuchukua picha ikiwemo bullet, time slice, nakadhalika ambapo iliset standard for future science fiction action movies.

ukipata muda pia fuatilia THE TERMINATOR ya Arnord ,wataalamu wengi sana walihusika kutengeneza zile effects,ndio filamu ilileta mapinduzi kwenye industry nzima
 
ukipata muda pia fuatilia THE TERMINATOR ya Arnord ,wataalamu wengi sana walihusika kutengeneza zile effects,ndio filamu ilileta mapinduzi kwenye industry nzima
Ile filam Anorld mwenyewe alitaka kukataa kuigiza maana aliposoma script alikuwa anaona ama ni kituko itaharibu career yake. Mfano movie ya Pirates of the carrebean dead men tell no tales, yule binti aliyeigiza mle aiigiza ila alikuwa anaona aibu kuwa itakuwaa movie ya kifala kiasi kwamba hakuwambia hata marafiki zake. Script ilikuwa inamfanya awaze ni movie ya kijinga. Ila Producer na director walikuwa wana picture ya kitu kitakachotokea
 
kabisa,yani wanasema kwa wakati ule yale mawazo watu wengi hawakuwa nayo,ilionekana ni kitu kisichowezekana kabisa.ile scene terminator anapita katikati ya chuma ilitumika tech kubwa mno
 
kabisa,yani wanasema kwa wakati ule yale mawazo watu wengi hawakuwa nayo,ilionekana ni kitu kisichowezekana kabisa.ile scene terminator anapita katikati ya chuma ilitumika tech kubwa mno
Just imagine kipindi hicho na tech ilivyokuwa bado computer powerful na software hamna lakini walitengeneza kitu kama kile na kikavunja rekodi.
Ila movie ni utaalam na siyo budget kubwa though nayo ni muhimu, just imagine movie kama Rocky ya SYlivester stalon aka Rambo ilitumia dollar milion moja ikaja kuuza dollar 225.
Kwa movie za kimarekani dollar milion moja siyo nyingi, maana epsode moja ya GOT ilikuwa inakula mpaka dollar milion 8.
 
Aaaaaahaaaaa dah nilikuwa sijui
Ni kanuni ile ile iliyokuwa inatumika kwenye sinema zile za zamani zina mikanda kama negative iliyotengenezwa kwa kuunganisha picha moja moja mpaka kinatokea kitendo na mwishho filamu.
 
Thanks.

Can you point me a direction.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
I'm one of them ....
Screenshot_20200827-175539_Drive.jpg

Alafu your story sounds kinda interesting sema ndo hivyo I have a lot of unfinished projects. Kama uko interested I can ask a friend of mine to add you kwenye group la scriptwriters in Tzee utangaze mle kuwa unatafuta mtu wakushirikiana nae....I'm pre6sure you can find someone who can do your story justice.
 
I'm one of them ....
View attachment 1549782

You are great! Lovely..
Please do. I would love to put these Ideas to good use

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Money Penny Kuna kipindi ulikuwa una brag kuwa unapelekea movie industry to the next level kwa mascript na story zako. It has been more than two years, what happened?
 
Kibongo bongo inabidi wadau tuje na idea ya horror movies moja matata sana, nafikiri kibudget inawezekana kwa huku kwetu, na ikitokea chance naomba niwe chinja chinja humo kwnye scenes kama charlie farm
 
I'm one of them ....
View attachment 1549782
Alafu your story sounds kinda interesting sema ndo hivyo I have a lot of unfinished projects. Kama uko interested I can ask a friend of mine to add you kwenye group la scriptwriters in Tzee utangaze mle kuwa unatafuta mtu wakushirikiana nae....I'm pre6sure you can find someone who can do your story justice.
dah embu jaribuni na me kunia add tunaweza share kitu wazee
 
Kibongo bongo inabidi wadau tuje na idea ya horror movies moja matata sana, nafikiri kibudget inawezekana kwa huku kwetu, na ikitokea chance naomba niwe chinja chinja humo kwnye scenes kama charlie farm
hahaaha me pia Niko na idea kama yako mzee kufanya horror movie haiitaj budget nying sana haswa kama bongo ikitegemea na location zipo za kutosha lakin watu bado wanafel hembu wanipe meme nafac niwaandikie crpt kar sana coz nipo na idea nying sana za movie kichwan kwangu
 
movie INAyo itaji kidogo vfx

the hidden world

huko katika dunia iliyo jificha....
alikwepo mzee mmoja aliyejulikana kwa...jina...LA mzee..saga mzee saga na mkewe hawakuwahi kupata mtoto hata mmoja kulingana na kijiji chao watu hawakuluusiwa kuzaa mapacha....hivyo mzee saga pa1 na mkewe wao hawakuwahi kupata mtoto...toka ujana wao................
kulikwepo na MTU aliyesumbua sana katika kijiji icho kutokana na ushetan wake bwana uyo aliyekuwa anamilik jeshi kubwa LA kichawi alitoa onyo kwa yeyote atae pata watoto mapacha basi adhabu kari itamuusu yeye na familia yake..............

miaka miwili badae mke wa mzee saga aliweza kubeba mimba akiwa na umri mkubwa sana kitu ambacho mzee saga alifulah sana bila kujua shida itakayo kuja kumkabiri badae....

siku moja mzee saga akiwa shambani kwake pemben kidogo na sehem aliyopo alisikia kishindo kikubwa sana baada ya kujaribu kusogea aliona mwanga mkari ulio mfanya azidi kusogea sehem ile ...na kukuta box kubwa likiwa limefugwa na minyororo mikubwa huku likitoa nuru ya ajabu sana alishtuka sana maana tayal ujio wa hiki kitu kilisha wahi kutabiriwa kabla....

haikuwa mda sana...tangu kutokea kwa tukio lile mkewe tayal alishapata uchungu....na kuanza harakati za kujifungua hakukuwa na MTU wa karbu kwake hivyo ilimpa wakati mgumu sana kwenye kujifungua kwake....
mzee saga, nae akiwa njiani kuludi nyumban ili kumpa taaarifa zile mkewe...njian alishtushwa na radi kubwa iliyokuwa ikipiga na manyunyu ya mvua hivy ilifanya kuwah nyumbani kwa haraka sana...akiwa anakaribia kwake alisikia mrio wa mtoto mchanga, akilia hivyo aliwahi harakaa sana na kumkuta mkew akiwa hoi na huku dam nying zikimvuja...alikuwa amepataka mtoto..mchanga..kabisa na mzee saga,alivyo jalibu kutizama mtoto alikuwa wa kiume furaha..iliyoje kwa mzee saga alifurah sana lakin mkew alimwambia kitu.......Mme, wangu..najua ..unafuraha..kupata ...mtoto..Ila...kuna..tatizo mme.. wangu..mzee saga alishtushwa ..sana..na taarifa zile..kipi,tena mke wangu...
mkewe.,kuna...mwingine..bado yupo..tumboni....................

MTANISAMEHE KIDOG KWA UWANDISH MMBOVU ILA NAJARIBU T KUONESHA NINI NILICHONACHO PIA
 
Back
Top Bottom